Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Joseph Mbilinyi (Sugu) atikisa Kata kwa Kata Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Joseph Mbilinyi (Sugu) atikisa Kata kwa Kata Mbeya Mjini

Tulia kalishwa matango pori.

Kwenye mkutano anaweka audio eti akiwa bungeni aliwaombea umeme na maji. akisahau yeye aliteuliwa kama mbunge wa Dar...

Hoja yake kubwa ni kuwa alianza kuwasaidia kabla hajawa mbunge.. (yale yale ya Lowassa na mafuriko)..

Kwa mtu aliyepo Mbeya atakubaliana na mimi kuwa Bettina ana hali mbaya.. kila akienda anasomba vijana ila bado hamfikii hata robo muhuni Sugu.
Kwenye mkutano anaweka audio eti akiwa bungeni aliwaombea umeme na maji. akisahau yeye aliteuliwa kama mbunge wa Dar...[emoji30][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom