Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Lazaro Nyalandu atikisa Singida Kaskazini, ni kama anasubiri kuapishwa tu

Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Lazaro Nyalandu atikisa Singida Kaskazini, ni kama anasubiri kuapishwa tu

Hapa ni Nyalandu basi. Huyo mwingine aendelee na hiyo kazi akisubiri majibu ya Mungu wetu. Mungu ni wetu sote.
 
Lazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma....
hii picha mbona photoshop
 
hakuna msafi ndani ya hicho chama, kuna wacheza picha za ngono, wezi, majambazi, wauaji, watekaji, sasa atachaguliwa nani mkuu zaidi ya hao hao???????
Angalia hii
 

Attachments

  • Yani huko Kawe hadi Mbuzi hawamtaki Gwajima ilihali Mbuzi hawapigi kura. ( 640 X 640 ).mp4
    3.5 MB
Lazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma. Mpinzani wake wa CCM anaitwa Ramadhan Ighondu, mtu anayetajwa bila kukanusha kuhusika na kumteka na kumtesa kinyama kiongozi wa chama cha Madaktari Tanzania, Dr. Ulimboka kwa lengo la kumuua. Hata wana Singida wangekuwa wamelogwa na kufanywa misukule wasingeweza kuchagua mbunge wa aina ya Ighondu.

Pichani ni Mh Nyalandu akiwa kwenye kampeni jimboni kwake.

God bless the Man
 
Back
Top Bottom