Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Lazaro Nyalandu atikisa Singida Kaskazini, ni kama anasubiri kuapishwa tu

Nyalandu ni mtu mwenye hofu sana ya Mungu. Anashindana na Ramadhani Ighondu mtekaji na mtesaji binadamu. Wema unashindana na uovu

Hapo kwenye HOFU SANA ya Mungu mh Hapana, umetumia kipindi gani na kinauzwa wapi mama nakuitaji
 
Kuna mtu alikua akipeleka kufua suti zake Ulaya.
 
Umefika darasa la ngapi ?!
 
Nyalandu anatakiwa afanye kampeni mpaka Singida Mjini na majimbo mengine CDM waliyoweka wagombea, ana haiba nzuri ya kisiasa, anaonekana mstaarabu, anafahamika zaidi, anafaa sana kuwatangaza wagombea wengine wa Chadema mkoa wa Singida.
 
Nyalandu is veru humble.........

Ili kumuenzi mbeba maono Tundu Lissu nawaasa sana wanasingida wasiruhusu jimbo hata moja kwenda kwa wauaji ccm
 
Ighondu ndo alimuua Dk Mvungi, eti wamewatoa kafara wale vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…