Tribute to Franco Luambo Makiadi

Tribute to Franco Luambo Makiadi

Peuch del sol, Kamikaze, freins a man, kila kibao Cha huyu mwamba ni kitamu mnoo! Haviishi utamu Wala havichuji. Halafu alibahatika kupata waaimbaji wenye sauti tamu Sana. Madilu, Simaroo masiya Lutumba na wengineo! Plani yangu hapo baadae ni kununua player na LP zote za Tp Ok Jazz uzeeni nnaburudika tuu!
 
Nna ngoma zake zote jamaa baada ya kurehemika madiluu alishindwa kuvaa viatu vyake kabisa
 
1.Mamou
2.Candidat na biso Mobutu(hapa alimsifu sana Rais Mobutu. Huu ulikuwa wimbo kwenye kampeni ya uchuguzi ule ulionekana kuwa mgumu sana kwa Mobutu
Ushindi wake Mobutu ulichagizwa na wimbo huu wa Franco.
3.Mario
4.Azda(ndio ninao usikiliza muda huu)
 
1.Mamou
2.Candidat na biso mobutu(hapa alimsifu sana rais Mobutu. Huu ulikuwa wimbo kwenye kampeni ya uchuguzi ule ulionekana kuwa mgumu sana kwa Mobutu
Ushindi wake Mobutu ulichagizwa na wimbo huu wa Franco.
3.Mario
4.Azda(ndio ninao usikiliza muda huu)
Kombo ya sika ba Zairois ba pesi
 
Peuch del sol, Kamikaze, freins a man, kila kibao Cha huyu mwamba ni kitamu mnoo! Haviishi utamu Wala havichuji. Halafu alibahatika kupata waaimbaji wenye sauti tamu Sana. Madilu, Simaroo masiya Lutumba na wengineo! Plani yangu hapo baadae ni kununua player na LP zote za Tp Ok Jazz uzeeni nnaburudika tuu!
[emoji23][emoji23]
 
1. Liberte
2.. Mado
3. Chaqui soi
4. Kimpa kisangameni
5.lukoki
6.ekabakaba
7.testament ya bowule
8.kadima
9. Eve sukari
10.makambo ezali minene
11.Voyage ya bandundu
12. Bina na ngai na respect
13.salima
14.Alimatou
15.kinshasa mboka ya makambo
16. Forever OK
17.Matata ya Mwasi
18.Le Rumeurs
19.georgette
20.SIDA
.....nshapandisha mashetani yangu!!!
 
Kuhusu Franco Luambo Makiadi(le Grande Maitre)...alijua sana kutengeneza na kuwa na waimbaji wazuri....mfano mdogo. Kabla ya Madilu kuja TP OK Jazz...Franco alikuwa na waimbaji wazuri sana pia. Sam Mangwana, na kijana wa brazzaville aitwaye Youlou Mabiala. Hata wakati Jean Madilu Bialu(system) alipokuwepo kulikuwa na mafundi kadha wa kadha...mfano Carlito Lassa, Malage Lugendo, Josky Kiambukuta, Ntesa Dalliest..
 
Franco alikuwa gwiji wa solo guitar hasa kwenye free style solo..katika maisha yake àlianza na gita liitwalo Les Paul...na akamalizia na gitaa la blue liitwalo Gibson le Guitar. Kulikuwa na wapiga solo wengine pia sambamba naye. Mfano Lutumba Simaro( le poet), Papa Noel, na wengine wengi.
 
Back
Top Bottom