Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

Lemutuz nilimfahamu kupitia X mkewe wa US, tulikua marafiki ila siku alinitukana humu kwa kisingizio eti nipo upande wa X wake ingawa yeye nilimjua kupitia huyo X wake. Aliniblock kila mahali. Jamaa hakuwa na moyo wa uvumilivu kwa mawazo tofauti na yake.

May his soul rest in peace!
 
Aliniblock nilipomwambia unafanya mambo ya aibu kila siku na hao malaya mitandaoni,
Wanao si watazidi kukudharau.
Akala kichwa RIP
 
RIP Lemutuz, Mungu amrehemu, jamaa aliniblock Instagram baada ya kupost picha Yuko kwenye ndege upande wa business class halafu akasema wanaopanda economy ni mamburulaz, nikamwambia "mkiugua mnaanza kutembeza bakuli" alikasirika sana
 
I'd gani alikuwa anatumia? R.I.P
 
Pascal una mapungufu mengi. sasa hii umeandika nini? Of what use to JF? anyway ndiyo JF!
 
Kuhusu swala la mahudhurio msibani ni Kigogo ndio anapotosha anasema msiba upo online marehemu hana nyumba, yani huyu Kigogo ilitakiwa waowane na Mange wangematch sana, maana wote ni mashetani.

Pili msiba wa kachero Membe nao inaweza kuwa factor watu walikuwa Karimjee Jana.

R.I.P Le Boma ye Boma liwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…