Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Labda point muhimu kwakuwa hana mke wala hana Watoto na mama yake mzazi ameshafariki basi hatuna pakupeleka rambirambi zetu, gharama za msiba atabeba Mzee maana bado anahudumiwa na serikali ambazo ni kodi zetu.Rambi rambi za nini ?mtu alikuwa anashinda 5 star hotels .
Na wewe jiandae kufa, tutakumiss sana.Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
DOKTA MATOLA MAVI ndio maana huwa nakwambia kila siku jengeni nyumba.Kigogo ndio anapotosha anasema msiba upo online marehemu hana nyumba
Umetisha Mayalla.. Marehemu Senyagwa nakumbuka aliwahi kukimbiza"Dabate" Dar es Salaam kupitia Tambaza.. Alimwaga mayai balaa.Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View. Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Le Mutuz ambaye ni kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano, amesema mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa nyumbani Sea View kwa Ibada Fupi ya Kifamilia.
* Saa 3:00 asubuhi - Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
* Saa 4:00 - Saa 6:00 - Shughuli za kuaga hapo Karimjee
* Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
* Saa 11:00 jioni - Mwili Utawasili Dodoma
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
My Take. My Tribute
Huu ndio msiba mkubwa wa pili kwa mwana JF maarufu baada ya Regia Mtema.
Kwasababu msiba wa Regia, wana JF, tulijitoa na kujitokeza, natoa wito kwa wana JF, kesho tujitokeze kwa wingi Karimjee.
Wenye kuweza kumsindikiza Dodoma, tumsindikize. Wana JF wa Dodoma, mtuwakilishe Mvumi Dodoma siku ya mazishi, na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
My Personal Tribute to Le Mutuz:
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Oyster Bay na watoto wote wa Mzee Malecela. Nilikuwa darasa moja na Jaji Mwendwa Malecela. Rais Hussein Mwinyi alitutangulia madarasa mawili, alikuwa darasa moja na Dr. Seche Malecela.
Nikiwa O Level Tambaza, Senyagwa alikuwa A level PCM, alipomaliza na kupiga DIV 1 ya point 3 na kujoin UDSM, Dr. Hussein Mwinyi na Seche, Mh. Silvester Koka walijiunga Tambaza PCB. Ni shule hii ya Tambaza kule juu summit, ndiko mimi niliko jifunzia kufanya mambo fulani, si unajua tena foolish age!.
Nikaja kuwa MC wa harusi ya dada yake, mmoja wa ma binti wa Malecela na mpaka leo, mpaka kesho from time to time na m visit Jaji Mwendwa..
Ni mpaka nilipokwenda jijini New York, nchini Marekani kwenye Ubalozi wetu UN pale New York, ndipo nikatambulishwa kwa shemeji yetu Mke wa Le Mutuz, ndipo nikamfahamu William.
Tukaja kukutana tena JF alipokuja kugombea ubunge wa Bunge la Africa Mashariki, akanitafuta, nikampa support
Kuna wakati nikiwa Dodoma akanikaribisha home kwa Dingi pale Dom, kisha tuka drive all the way from Dom to Dar so we got to know better, ndipo nikajua kumbe jamaa, don't drink!, don't smoke, just chilling tuu and have good time!.
From there tukawa marafiki, kama vilivyo vikombe kabatini kuna wakati tukapishana kauli, akanifungia madirisha!. Alikuwa mwepesi kukasirika, hachelewi kukiwasha ila pia mwepesi kusamehe!.
Tukaja kupatanishwa na mwana JF Sactus Mtsimbe, kuna wakati alituhifadhi mimi na Le Mutuz pale ofisini kwake, Tancot House hivyo tukapatana.
Ni Le Mutuz ndie aliyenitambulisha mimi kwenye YouTube channel, na video hii ya Le Mutuz ndio video yangu ya kwanza YouTube.
Ingekuwa video ni Mwanamke, tungesema ni video ya Le Mutuz ndio imeizindua YouTube Channel yangu. Thanks for that.
Na baada ya hapo akanipa bonge la shavu LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
Mara ya mwisho kuonana na Le Mutuz ni kwenye msiba wa Baghdellan pale Magomeni mwaka jana, alikuja na chuma fulani kikali sana na Davis Mosha!.
Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani. Nilipategemea kukuta watu kufurika wakiwamo ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia.
Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza.
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.
Buriani ya Kuonana.
Paskali
Baadhi ya mabandiko yangu na mwamba huyu
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. mode, ikikupendeza, lifugue bandiko hili kumuaga!.
- TBC: Mtaalamu wa meli, William Malecela atoa maoni yake ya kitaalam kuhusu usalama melini
- LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
- William Malecela: Watoto wa viongozi na uongozi wa taifa letu!
- Nini kinamsibu William John Malecela?
- Mzee John Malecela atua Jijini Dar kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye
💯🤝na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
🤣🤣🤣Ni shule hii ya Tambaza kule juu summit, ndiko mimi niliko jifunzia kufanya mambo fulani, si unajua tena foolish age!.
Rambi rambi anakabidhiwa nani?Rambi rambi za nini ?mtu alikuwa anashinda 5 star hotels .
Kwa Stivu ake ✌️Rambi rambi anakabidhiwa nani?
Stivu ake sio mfiwa 😀😀Kwa Stivu ake ✌️
Yule misiba ya celebs huwa mweka hazina na ni fundi wa kuchangisha rambirambi. Ndo mana wasanii wanamkubali sana 😅😅Stivu ake sio mfiwa 😀😀
Baada ya kuchangisha rambirambi nani anakabidhiwa kama mfiwa.?Yule misiba ya celebs huwa mweka hazina na ni fundi wa kuchangisha rambirambi. Ndo mana wasanii wanamkubali sana 😅😅
Malechela ni jina kubwa.Je lemetuz ni nani?
Yuko na umri gani?
Mpaka anaagwa karimjee means ni mtu mkubwa mno.
Zinaenda kwa msemaji wa familia naye ataziwasilisha kwa wafiwaBaada ya kuchangisha rambirambi nani anakabidhiwa kama mfiwa.?
Kuna msiba mwingine mkubwa ulitokea JF, warumi alidedUpdate ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz).
Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee John Malecela, pale Sea View. Nimepita pale na kufanikiwa kupata Ratiba ya Kumuaga.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Le Mutuz ambaye ni kaka wa Le Mutuz, aliyejitambulisha kwa jina moja tuu la Kaka Misano, amesema mwili wa marehemu utachukuliwa Hospitali ya Muhimbili Saa 2:00 Asubuhi na kupelekwa nyumbani Sea View kwa Ibada Fupi ya Kifamilia.
* Saa 3:00 asubuhi - Mwili utaondolewa nyumbani kuwasili Ukumbi wa Karimjee Saa 3:30.
* Saa 4:00 - Saa 6:00 - Shughuli za kuaga hapo Karimjee
* Saa 7:00 Mwili unaondoka Ukumbi wa Karimjee kupelekwa Airport, tayari kwa safari ya Dodoma.
* Saa 11:00 jioni - Mwili Utawasili Dodoma
Siku ya Jumanne kutakuwa na Ratiba za Dodoma.
Mazishi yatafanyika Mvumi Mission Dodoma, Siku ya Jumatano saa 9:00 Alasiri.
Kwa wote walioguswa na msiba huu mkubwa wawasiliane na familia wapewe utaratibu wa kutoa mkono wa pole.
My Take. My Tribute
Huu ndio msiba mkubwa wa pili kwa mwana JF maarufu baada ya Regia Mtema.
Kwasababu msiba wa Regia, wana JF, tulijitoa na kujitokeza, natoa wito kwa wana JF, kesho tujitokeze kwa wingi Karimjee.
Wenye kuweza kumsindikiza Dodoma, tumsindikize. Wana JF wa Dodoma, mtuwakilishe Mvumi Dodoma siku ya mazishi, na itapendeza kama kutakuwa na shada la JF.
My Personal Tribute to Le Mutuz:
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Oyster Bay na watoto wote wa Mzee Malecela. Nilikuwa darasa moja na Jaji Mwendwa Malecela. Rais Hussein Mwinyi alitutangulia madarasa mawili, alikuwa darasa moja na Dr. Seche Malecela.
Nikiwa O Level Tambaza, Senyagwa alikuwa A level PCM, alipomaliza na kupiga DIV 1 ya point 3 na kujoin UDSM, Dr. Hussein Mwinyi na Seche, Mh. Silvester Koka walijiunga Tambaza PCB. Ni shule hii ya Tambaza kule juu summit, ndiko mimi niliko jifunzia kufanya mambo fulani, si unajua tena foolish age!.
Nikaja kuwa MC wa harusi ya dada yake, mmoja wa ma binti wa Malecela na mpaka leo, mpaka kesho from time to time na m visit Jaji Mwendwa..
Ni mpaka nilipokwenda jijini New York, nchini Marekani kwenye Ubalozi wetu UN pale New York, ndipo nikatambulishwa kwa shemeji yetu Mke wa Le Mutuz, ndipo nikamfahamu William.
Tukaja kukutana tena JF alipokuja kugombea ubunge wa Bunge la Africa Mashariki, akanitafuta, nikampa support
Kuna wakati nikiwa Dodoma akanikaribisha home kwa Dingi pale Dom, kisha tuka drive all the way from Dom to Dar so we got to know better, ndipo nikajua kumbe jamaa, don't drink!, don't smoke, just chilling tuu and have good time!.
From there tukawa marafiki, kama vilivyo vikombe kabatini kuna wakati tukapishana kauli, akanifungia madirisha!. Alikuwa mwepesi kukasirika, hachelewi kukiwasha ila pia mwepesi kusamehe!.
Tukaja kupatanishwa na mwana JF Sactus Mtsimbe, kuna wakati alituhifadhi mimi na Le Mutuz pale ofisini kwake, Tancot House hivyo tukapatana.
Ni Le Mutuz ndie aliyenitambulisha mimi kwenye YouTube channel, na video hii ya Le Mutuz ndio video yangu ya kwanza YouTube.
Ingekuwa video ni Mwanamke, tungesema ni video ya Le Mutuz ndio imeizindua YouTube Channel yangu. Thanks for that.
Na baada ya hapo akanipa bonge la shavu LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
Mara ya mwisho kuonana na Le Mutuz ni kwenye msiba wa Baghdellan pale Magomeni mwaka jana, alikuja na chuma fulani kikali sana na Davis Mosha!.
Kiukweli kabisa kwa jinsi Le Mutuz alivyo mtu wa watu, sijapenda mahudhurio hafifu niliyoyaona hapo nyumbani. Nilipategemea kukuta watu kufurika wakiwamo ma babez na washure wakiongozwa na Davis Mosha, labda tusubirie hiyo kesho, ila kwa sasa kitu muhimu sana ni kutoa mkono wa pole kwa familia.
Mkuu William Malecela Le Mutuz,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeitunza.
Sisi tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi,
Bwana alileta, Bwana ametwaa,
Jina lake Lihimidiwe.
Buriani ya Kuonana.
Paskali
Baadhi ya mabandiko yangu na mwamba huyu
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. mode, ikikupendeza, lifugue bandiko hili kumuaga!.
- TBC: Mtaalamu wa meli, William Malecela atoa maoni yake ya kitaalam kuhusu usalama melini
- LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!
- William Malecela: Watoto wa viongozi na uongozi wa taifa letu!
- Nini kinamsibu William John Malecela?
- Mzee John Malecela atua Jijini Dar kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye
Watu wazito hawa hawahitaji rambirambi. Unaweza kuta gharama zote za mazishi zinagharamiwa na serikali.Zinaenda kwa msemaji wa familia naye ataziwasilisha kwa wafiwa
Tusifike huko wadau. Wanadamu tukifa wote ni sawa.Kuna msiba mwingine mkubwa ulitokea JF, warumi alided
Sasa wanamaliza zote hizo?[emoji28][emoji28]Nadhani ni ushamba wa asili , kuna wakati nilipata tenda ya kupeleka nyama ya ng'ombe tani nyingi CANADA , sasa waliokuwa wananiuzia ng'ombe walikuwa ndugu wa Pascal , changamoto ilikuwa ukiwapeleka hotel kubwa kwa ajili ya malipo yao au mipango mingine , wanaagiza kreti nyingi za bia na wanataka ziletwe zote mezani !
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app