Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

Tunaenda chini wallah!! nakumbuka babangu aliwahi kuniambia "Kuna wakati naiona dunia nini sijui Ilala zamani nilipenda kwenda palikua Kama ni sehemu yangu ya faraja na furaha leo hii sipendi kwenda kwasababu niliokua nikichangamana nao wengi wamefariki naona upweke na hudhni kubwa"watoto wa mjini tunalielewa hili viwanja havinogi tena watu Kama Ruge,Le mutuz ,kibonde macheni mpakanjia na wengine wengi tulioshirikiana nao hatunao tena .......R.I.P William
 
Nimeipenda hiyo interview yako na Le Mutuz.

Sasa lini ulizielewa Propaganda mpaka kakubali kachukua Kadi ya Chama!?
 
So umefunguliwa ban yako naona uko kwa hewa na 20/5/2023 haijafika

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majigambo mengi ndiyo mana Jiwe alikukata Kawe ....Nileteeeeeeeni Gwajima.
 
Ndugu umemaliza kila kitu. Agiza kitimoto rost na ndizi mbili utajilipia mwenyewe.
 
Duhhh wewe mhaya WA karagwe au misenyi
 
I feel his pain...RIEP William, ulikuwa mtu mwema sana. Ulisaidia wengi lakini wachache wanajua mateso uliyopitia...Pumzika kwa amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…