Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!

Sina wivu maana hata kumjua simjui. The truth is that , the whole 2015/2020 election was flouted. Mwadilifu anakataa kuwa siwezi kutumikia uchafu, serikali iliyoingia madrakani kwa hila, mwadilifu anakataa! Sasa anasaidiana na serikali kandamizi, isiyo kuwa na ridhaa ya wananchi halafu unasema ni mwadilifu, mzalendo? Mwizi anakuwa mzalendo?
Kule yamejazana manyang'anyi tupu
 
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.

Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.

Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.

Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.

Rip Comred William Ole Nasha.

Paskali
Hata siku akienda Mtemi Chenge utasema hivi hivi mpk tunajiuliza hao wezi walio CCM ni akina nani
 
Mkuu Kasomi , kama jina lako lilivyo, ni wachache sana humu jf, wanaweza kusoma bandiko na kuibaini the central message
Thanks kwa kunielewa, kiukweli ni watu wachache humu wananielewa.
P
P,watu wanakuelewa sana na kuna watu waelewa sana ila hoja yao ni kwamba hakuna mtu mwadilifu ndani ya CCM na hoja yao ni kwamba wote walitoa mlungula wakati wa uchaguzi.
 
they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Mkuu, Pole sana kwa msiba huu wa kiongozi uliyebahatika kumuhoji ukiwa mwandishi na mtangazaji wa habari. Ukweli kifo cha Mheshimiwa Ole Nasha (R.I.P) kimetusikitisha watanzania tuliowengi.

Nikirejea kwenye nukuu hapo juu, nasita kuamini kama na wewe Mkuu ni mmoja ya wale wanaotaka iwepo E-vaccine passport hapa nchini, itungwe sheria ya kuwafukuza kazi wafanyakazi wote wa serikali na mashirika na makampuni binafsi ambao hawajachanjwa, itungwe sheria ya kuwafukuza wakulima wote kwenye mashamba yao ambao hawajachanja, itungwe sheria ya kuwafukuza wavuvi na wawindaji wote kutoka kwenye mito, maziwa , bahari, mabwawa, mbuga ambao hawaja chanjwa; na itungwe sheria ya kuwalinda wafanyabiashara wakubwa wasibughuziwe kwa masuala ya chanjo kwa sababu wanalipa kodi kubwa kubwa.

Mkuu, nasema nasita kuyaamini haya kwa sababu sidhani kama nawe pia upo mstari wa mbele kuahkikisha chanjo zinadungwa kwa kila mtu bila kujali hali halisi ya mtu kuhitaji chanjo muda huu ama ujao kwa kuzingatia vigezo vya afya ya mtu huyo.

Mama yetu kiongozi wa nchi anajua kuna umuhimu wa kuhakiki hali halisi ya mtu kabla ya kudungwa chanjo, ndiyo maana anasema , kuchanja ni uamuzi wa mtu binafsi na halazimishwi ingawa chanjo ni muhimu kwa wanaohitaji.

Bado nasisitiza nasita kuamini, mkuu mleta mada unaunga mkono niliyoandika aya ya pili na tatu ya bandiko hili.
 
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.

Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.

Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.

Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.

Rip Comred William Ole Nasha.

Paskali

Kaka Pascal, ulikusudia nini hapakwa andiko hili, umeongelea wasifu wako kitasnia, umeongelea chanjo, kisha umeongelea kuhusu Laigwanani Ole Nasha, coordination iko wapi, maudhui ya mahojiano yana akisi vipi andiko lako? Muktadha wa stakeholders na contextual learning, adopting etc Mahojiano yako pia na waziri mwenye dhamana apaswa kuwa na ufahamu huo. Umahususi wa bandiko ni upi? Sifa za Ole Nasha kwa rejea ya mahojiano hujaanisha kumpa huo upekee wake tofauti na hao wengine.
 
Retired ana kitu kinamtesa moyoni, kila anapochangia hoja anakiwakilisha alichonacho moyoni.
How? and why? niteswe na nini? Ole mwenyewe simjui, najua yuko CCM, (si zaidi ya hapo) na CCM wote ni wezi! wezi wa kura! wanafiki...... Hakuna cha kunitesa, hakipo kabisa sijawahi kuwa kwenye siasa hata siku moja and had opporunity to engage in politics... miaka ya 80s nadhani ulikuwa hujazaliwa. Ningelikuwa may be juu maana I had all qualities and qualifications of being there by those days. Ulikuwa ukimaliza University unachagua uende wapi/kazi gani etc etc.
 
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.

Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.

Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.

Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.

Rip Comred William Ole Nasha.

Paskali

Unafikili ndiyo utapata uteuzi ili uchumue nafasi yake,

Tuonyeshe hata kitu kimoja tu alichoacha kama alama,maana hapa Ngorongoro mi napafahamu,lakini wananchi wa Ngorongoro hawamfahamu hata marehemu zaidi ya kumuona kwenye uchaguzi.
 
Hata JPM alikua mtu mwema tena shujaa wa afrika .
Mkuu Janja weed , ni kweli kabisa JPM alikuwa shujaa wa Africa
P
 
Back
Top Bottom