Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kule yamejazana manyang'anyi tupuSina wivu maana hata kumjua simjui. The truth is that , the whole 2015/2020 election was flouted. Mwadilifu anakataa kuwa siwezi kutumikia uchafu, serikali iliyoingia madrakani kwa hila, mwadilifu anakataa! Sasa anasaidiana na serikali kandamizi, isiyo kuwa na ridhaa ya wananchi halafu unasema ni mwadilifu, mzalendo? Mwizi anakuwa mzalendo?
Uzuri wa JF ni taslimu taslimu tu😆Acha hizo, CCM hakuna mtu wa mwdilifu ,ukiwa mwadilifu unakataa kura kupewa kuwa UCHAGUZI hauna haki.
Achana na tribute fake..... Acha Kanisa, unakula bya kura za wizi halafu unasema uzalendo, rubbish
Hata siku akienda Mtemi Chenge utasema hivi hivi mpk tunajiuliza hao wezi walio CCM ni akina naniWanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.
Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.
Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali
Wabongo mtu akifa hapo ndipo sifa zinatolewa
Ova
Teh tehAlikua mzalendo bonafaidi, jiniwini zote hizo sifa
Atasifiwa sanaHata siku akienda Mtemi Chenge utasema hivi hivi mpk tunajiuliza hao wezi walio CCM ni akina nani
P,watu wanakuelewa sana na kuna watu waelewa sana ila hoja yao ni kwamba hakuna mtu mwadilifu ndani ya CCM na hoja yao ni kwamba wote walitoa mlungula wakati wa uchaguzi.Mkuu Kasomi , kama jina lako lilivyo, ni wachache sana humu jf, wanaweza kusoma bandiko na kuibaini the central message
Thanks kwa kunielewa, kiukweli ni watu wachache humu wananielewa.
P
Mkuu, Pole sana kwa msiba huu wa kiongozi uliyebahatika kumuhoji ukiwa mwandishi na mtangazaji wa habari. Ukweli kifo cha Mheshimiwa Ole Nasha (R.I.P) kimetusikitisha watanzania tuliowengi.they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Teh teh
Atasifiwa sana
Humble,down to earth mzalendo blh blh
Ova
Long experience ya uzoefu wa muda mrefu...Kufuatia
long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, .........
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali
Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.
Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.
Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali
Mimi siyo CCM, sina unafiki. Nasema ukweli. HUWEZI KUWA MWADILIFU UKAIBA KURA! FULL STOP! Unataka nimrembe kwa sifa za uongo? Not me! Eti Askofu Gwajima! Askofu anaiba kura? Rubbish!Retired ana kitu kinamtesa moyoni, kila anapochangia hoja anakiwakilisha alichonacho moyoni.
How? and why? niteswe na nini? Ole mwenyewe simjui, najua yuko CCM, (si zaidi ya hapo) na CCM wote ni wezi! wezi wa kura! wanafiki...... Hakuna cha kunitesa, hakipo kabisa sijawahi kuwa kwenye siasa hata siku moja and had opporunity to engage in politics... miaka ya 80s nadhani ulikuwa hujazaliwa. Ningelikuwa may be juu maana I had all qualities and qualifications of being there by those days. Ulikuwa ukimaliza University unachagua uende wapi/kazi gani etc etc.Retired ana kitu kinamtesa moyoni, kila anapochangia hoja anakiwakilisha alichonacho moyoni.
Unafikili ndiyo utapata uteuzi ili uchumue nafasi yake,Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ. Mimi kwa upande wangu nime specialize kwenye talk shows na kufanya mahojiano.
Kufuatia long experience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye kufanya mahojiano, nimekuja kupata uwezo wa kutofautisha fake from genuine, hivyo kwenye kuuliza maswali, kuna viongozi wanatoa majibu fake ili just to pay lip services tuu za kutokelezea, they don't real mean what they say or preach, ndio maana Tanzania tumeletewa chanjo 1,450, 000 corona, viongozi wetu wanatuhamasisha tuchanje na kutuhubiria kuchanja, lakini mpaka leo, tunakwenda miezi mitatu, zile chanjo 450,000 hazijaisha, achilia hizo chanjo zaidi ya milioni ambazo hazijachanjwa, na mind well, chanjo zote duniani zina expire date!.
Huyu Mhe. William Ole Nasha, ni miongoni mwa viongozi wachache, bonafide genuine ambao ni wazalendo wa kweli wa inchi hii.
Uwezo wa kuwatofautisha viongozi walipa lip services na bonafide genuine ni ukiwasikiliza kwa makini baada ya mahojiano, utabaini tuu.
Rip Comred William Ole Nasha.
Paskali
No sio kweli, tumewasifu wengi humu, when they were nothing, they were nobody mpaka sasa they are somebody.Wabongo mtu akifa hapo ndipo sifa zinatolewa
Ova
Mkuu Janja weed , ni kweli kabisa JPM alikuwa shujaa wa AfricaHata JPM alikua mtu mwema tena shujaa wa afrika .