Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
kweli mwanakijiji tuna pay attention more than u can imagine kuna wadada saluni anaweza kuacha hata laki mojanow i appreciate wholeheartedly when a woman say "i'm going to have my hair did". To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others her hair is the most intriguing feature! Keep it up ladies!!(please pay attention to the hair!)View attachment 42479] well.. Just to let you know.. Wakati mwingine kweli mkienda saluni mnatengeneza nywele (literally) .. !!!
Yeahhh . . .
Na siku ya mbili za mwanzo msiwe mnashika vichwa. . . hua vinauma kweli mpaka tukilala tunajiegesha.
kuna ile stail wanaiita bomba ivi ile mtu huwa analalaje?yeahhh . . . Na siku ya mbili za mwanzo msiwe mnashika vichwa. . . Hua vinauma kweli mpaka tukilala tunajiegesha.
kweli mwanakijiji tuna pay attention more than u can imagine kuna wadada saluni anaweza kuacha hata laki moja
kuna ile stail wanaiita bomba ivi ile mtu huwa analalaje?
Yeahhh . . .
Na siku ya mbili za mwanzo msiwe mnashika vichwa. . . hua vinauma kweli mpaka tukilala tunajiegesha.
mimi saluni huwa siendi nasuka tu uswahilini kwetu maana mimi style zangu ni tatu tuila unaenda kutengeneza nywele kweli au una mengine maana wengine salon nako ni another mitego
kabla sijasema......nataka nikwambie umeniuzi......
mungu wangu nisamehe mpenzi preta nimekuudhi nini jamani?kabla sijasema......nataka nikwambie umeniuzi......
Ila unaenda kutengeneza nywele kweli au una mengine
Maana wengine salon nako ni another mitego
lakini kama nimekuaga naenda salon.....nikirudi si utaniona nina mabadiliko.....hayo mengine ni yepi tena jamani....
mungu wangu nisamehe mpenzi preta nimekuudhi nini jamani?
mimi saluni huwa siendi nasuka tu uswahilini kwetu maana mimi style zangu ni tatu tu
Ila naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.