Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Now I appreciate wholeheartedly when a woman say "I'm going to have my hair did"*. To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others her hair is the most intriguing feature! Keep it up ladies!!(PLEASE PAY ATTENTION TO THE HAIR!)

alicia_keys_hairstyles_9.jpg
alicia_keys_25.jpg

black-women-hairstyles-2.jpg

black-women-hairstyles-3.jpg

031b40a1be17c1fd_wedding-hairstyles-for-black-women-3.jpg

black-hair-style-01.jpg

curls_hairstyles_for_black_women1301341872.jpg

micro-braid-with-human-hair.jpg

Well.. just to let you know.. wakati mwingine kweli mkienda saluni mnatengeneza nywele (literally) .. !!!

* - An African American expression simply meaning "naenda kutengenezwa nywele"
 
Well.. just to let you know.. wakati mwingine kweli mkienda saluni mnatengeneza nywele (literally) .. !!!

MMM hapa umewasifia na kuwaponda at the same time
Haya mkuu kweli na ulilosema linakubalika
 
now i appreciate wholeheartedly when a woman say "i'm going to have my hair did". To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others her hair is the most intriguing feature! Keep it up ladies!!(please pay attention to the hair!)View attachment 42479] well.. Just to let you know.. Wakati mwingine kweli mkienda saluni mnatengeneza nywele (literally) .. !!!
kweli mwanakijiji tuna pay attention more than u can imagine kuna wadada saluni anaweza kuacha hata laki moja
 
lakini kama nimekuaga naenda salon.....nikirudi si utaniona nina mabadiliko.....hayo mengine ni yepi tena jamani....

Siku hizi salon pamoja na kuwa unaenda kupendeza ni sehem nyingine za kukutana na yule wako wa zamani au wa pembeni
Unaona dume anaingia salon ya kike hana hata wasi wasi
Sasa unajiuliza na yeye anaenda kusuka au kuna mengine
Akitoka huko story nyingine kabisa
 
mimi saluni huwa siendi nasuka tu uswahilini kwetu maana mimi style zangu ni tatu tu

Hata wale vijana w akimasai wanaosuku wale hawaaminiki siku hizi
Wamekaa kimitego na wajanja sana wale
 
Ila naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.
 
Hususan kwa watu wasiokuwa nazo. Wenye nywele nzuri za natural mara nyingi huwaoni hata kuhamia saloon wala kuweka style
 
Back
Top Bottom