Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
ni kweli mwanakijiji nadhani hata viwanda vya product za nywele revenue zao zitakuwa zipo juu sana ukitaka kuprove nenda pale maduka ya darling wanauza kwa foleni kama benkIla naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.