Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

Ila naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.
ni kweli mwanakijiji nadhani hata viwanda vya product za nywele revenue zao zitakuwa zipo juu sana ukitaka kuprove nenda pale maduka ya darling wanauza kwa foleni kama benk
 
Ila naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.

Sio kumvutia mwanaume ila kuwa msafi.
 
nywele ni kitu muhimu sana kwa mwanamke,
hasa zile za asili, achana na hizi zetu za kuunga unga,
na matunzo yake pia ni ya hali ya juu sana.
 
mke wangu alitaka kunifilisi kwa nywele zake, nimemvizia usiku nkazikata, asaivi ana upara, budget ya nywele nimenunua tofari, hahahahahaha......
 
MM umenena vyema.Binafsi navutiwa sana na nywele za wadada hasa zile ndefu.
 
ahaha ngoja nitafute picha ila ni ile mtu anawekewa mazagazaga kibao kwa ndani then wanabana

Ile kama kisunzu cha jogoo?
Sikujua huwa wanajaza vitu mle. Urembo kazi jamani.
 
Gosh.........

I cut mine on sunday, tn yote. Hapa nna upara raha tupu.
 
duh, mie nakipara ngoja nikaoteshe kama Rooney.
 
ahaha ngoja nitafute picha ila ni ile mtu anawekewa mazagazaga kibao kwa ndani then wanabana

hahaha hii style niliipenda sana wakati ulee.
Huhitaji mazagazaga kama una nywele ndefu smile...una "back-comb" tu ila ujiandae kukatika nywele hadi ukome!
 
Hahaha! Umenchekesha! Halafu ukikataa nanilii wanaona unajifanyisha! Afadhali umewaelewesha,lol
Yeahhh . . .
Na siku ya mbili za mwanzo msiwe mnashika vichwa. . . hua vinauma kweli mpaka tukilala tunajiegesha.
 
Kuweka nywele SAFI ndo muhimu zaidi aisee. Nothing sucks like sweaty, greasy and smely hair! Big up all ladies.
 
Kuweka nywele SAFI ndo muhimu zaidi aisee. Nothing sucks like sweaty, greasy and smely hair! Big up all ladies.

Hii inahusu King'asti, manake mtu mwingine akaa na rasta miezi minne hata maji hazitii.
Mmmh ukikaa naye kwenye siti moja kwa daladala unatamani kushuka.

Akikaa mbele yako kwenye foleni bank unatamani kurudi nyuma......duh :juggle:
 
mm umenena ,nywele zinavutia na zinzhitaji matunzo....ila kuna wengine minywele hawaioshi au wameisuka kitambo ,inanuka mpaka wakati mwingine km mpo kwny foleni bank unaahirisha kupanga foleni.
 
Back
Top Bottom