ni kweli mwanakijiji nadhani hata viwanda vya product za nywele revenue zao zitakuwa zipo juu sana ukitaka kuprove nenda pale maduka ya darling wanauza kwa foleni kama benkIla naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.
kuna ile stail wanaiita bomba ivi ile mtu huwa analalaje?
Ila naamini kati ya vitu vingi ambavyo mwanamke anafanya ili apendeze hakuna kama nywele ; kwani ukilinganisha na vingine ambavyo anaweza kufanya ili kumvutia mwanamme kuna vitu vinne au vitano ambavyo anavifanya kwa sababu ni mtoto wa kike na anataka kupendeza cha kwanza kati ya hivyo ni - nywele.
kuna ile stail wanaiita bomba ivi ile mtu huwa analalaje?
ahaha ngoja nitafute picha ila ni ile mtu anawekewa mazagazaga kibao kwa ndani then wanabanaSmiley mwenzio nimepitwa na wakati. . bomba ndo inakuaje vile?
Lizzy kumbe
afadhali umetuambia wengine ndo hivyo tunavishika tena kwa kuving'ang'ania haswa
ahaha ngoja nitafute picha ila ni ile mtu anawekewa mazagazaga kibao kwa ndani then wanabana
ahaha ngoja nitafute picha ila ni ile mtu anawekewa mazagazaga kibao kwa ndani then wanabana
Yeahhh . . .
Na siku ya mbili za mwanzo msiwe mnashika vichwa. . . hua vinauma kweli mpaka tukilala tunajiegesha.
Kuweka nywele SAFI ndo muhimu zaidi aisee. Nothing sucks like sweaty, greasy and smely hair! Big up all ladies.
Hahaha! Umenchekesha! Halafu ukikataa nanilii wanaona unajifanyisha! Afadhali umewaelewesha,lol
Heheheh. . .kuna wazo nimepata wifi.Ntalianzishia thread na ntahitaji msaada wenu wadada.