Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
..Tetere!! bila kusahau chiriku kwenye tundu la mambua ya mtama..Hivi wale njiwa wa rangi ya cream au sijui ni beige ile walikuwa wanaitwaje?
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!Nyani unakumbuka Shorwe, Shorwe Bwenzi, Tongwa....Tetere
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!
Dizaini wewe ulikuwa mtu wa kupiga madochi tu....ahahahahahaaa.....