Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Washikaji mnakumbuka kunyoa mapanki? Hahahahahaa.....kuna midingi ilikuwa minoko kichizi......halafu mashuleni ndo walikuwa wanoko kichizi. Mnakumbuka movie ya House Party.....baada ya movie kupata umaarufu watu wakaanza kunyoa kama Kid.....ahahahahahahaaa.....those were the days man.....