Trip Down Memory Lane

Trip Down Memory Lane

Washikaji mnakumbuka kunyoa mapanki? Hahahahahaa.....kuna midingi ilikuwa minoko kichizi......halafu mashuleni ndo walikuwa wanoko kichizi. Mnakumbuka movie ya House Party.....baada ya movie kupata umaarufu watu wakaanza kunyoa kama Kid.....ahahahahahahaaa.....those were the days man.....
 
mi nakumbuka kutengeneza magari ya bati.
Ukiwa mtaalamu watoto wote wanakuja kukuomba uwatengenezee.

Nakumbuka baiskeli mazee, weekend nilikua sikai hom, ni mitaa ya mbali tunaomba 'round'
 
Nyani unakumbuka Shorwe, Shorwe Bwenzi, Tongwa....Tetere
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!
 
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!

Dizaini wewe ulikuwa mtu wa kupiga madochi tu....ahahahahahaaa.....
 
Back
Top Bottom