Triple "C", CHAMA, ndani ya Msimbazi, Sakho nje!

Hivi nyie makolo nani aliwaloga?? Mmeshasahau kama mliaminishana kuwa mlishamsajili Aucho na imebaki tu kumtambulisha dirisha litakapofunguliwa? Leo tena mnajazana upepo, nyie sasahivi hivi level zenu ni kusajili wachezaji kutoka mbeya city na kagera sugar
 
Utopolo walikua wana mmezea mate chama na walitamani akirudi bongo moja kwa moja afikie jangwani, ila ndo hivyo tena imeshindikana kwahiyo kupoza machungu wanaamua kutema nyongo na kejeli kibao wakati kiuhalisia yanga hii wanayoona imeimarika kwenye first eleven yao sijaona wa kumuweka nje clatous chama, hapo hapo wanasahau kuwa hata wao wenyewe wamemrudisha makambo ambaye Kawa zaidi ya garasa.
Tulia ww Kolo hakuna mwanachama/shabiki wa Yanga anayemtaka Chama.. chama Hana hadhi ya kuingia ndani ya kikosi cha Yanga hata kwa Sub.. pelekeni huko manyoya yenu. Si mnamuona Chama ndo mama enu.. mleteni bac, Ila bado matatizo yatabaki palepale
 
Nani mwenye uwezo wa kumuweka chama benchi hapo uzuzuni ?
 
Aucho mmoja sawa na Chama10! Huko aliko Kisinda ni tegemeo kuliko huyo chama!
Labda chama snacks sio triple C, hiyo aucho hamna lolote ni kawaida tu ya wana utopolo kukuza majina ya wachezaji.
 
Aucho mmoja sawa na Chama10! Huko aliko Kisinda ni tegemeo kuliko huyo chama!
Hujui kwamba kocha wa kisinda akiwa vita club ndiye huyo aliyenae huko Bekane? Kwahiyo ulitegemea mwanariadha kisinda akae benchi? Chama ana kipaji cha mpira, acha kumlinganisha na aucho anayetegemea mpira wa kufundishwa tu wewe sukule.
 
Tulia ww Kolo hakuna mwanachama/shabiki wa Yanga anayemtaka Chama.. chama Hana hadhi ya kuingia ndani ya kikosi cha Yanga hata kwa Sub.. pelekeni huko manyoya yenu. Si mnamuona Chama ndo mama enu.. mleteni bac, Ila bado matatizo yatabaki palepale
Umenikumbusha kale ka hadithi ka sungura ka sizitaki mbichi hizi. Wivu ni mbaya sana
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Umetoa sababu za ajabu ajabu kumzuia Chama asirudi bongo, ulitaka aende popote hata kama hawakumuhitaji?

Hiyo habari ya marefa, bodi ya ligi na upuuzi mwingine ulioandika mbona wachezaji wengine wanacheza unawaangalia, kwanini iwe nongwa kwa Chama?

Simply utakuwa umeumia na huu urejeo wa Chama, omba Mungu isiwe kweli usije kuzimia kabisa.
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Ila Makombo kurudi Utopolo kunamfaa na ni kusonga mbele.
CR 7 kurudi Man U wala haina tatizo.
Anayerudi ni Chama wewe kinakuhusu nini? Au unapendezwa kusikia anabeba majezi?
 
Tulia ww Kolo hakuna mwanachama/shabiki wa Yanga anayemtaka Chama.. chama Hana hadhi ya kuingia ndani ya kikosi cha Yanga hata kwa Sub.. pelekeni huko manyoya yenu. Si mnamuona Chama ndo mama enu.. mleteni bac, Ila bado matatizo yatabaki palepale
Maneno haya unatofauti gani na dada yako? Maneno ya jikoni ukikata nyanya na vitunguu.
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Kafanikiwa kusajiliwa lakini anawekwa bench, na hata akicheza basi ni dakika chache hii inamuondolea morale wakati kuna timu alikua anacheza kwa dakika zote na akaweza kuonesha kipaji chake mpaka hiyo berkane ikamtamani
 
Kumbe chanzo ni Mwanaspoti? Japokuwa natamani Chama arudi Simba lakini sina imani na chanzo hiki cha habari
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Una point lakini hauna fact, uwezi kusema chama asonge mbele angalia na age ya chama. Ko kwa akili yako na age ya chama anaweza akaenda ulaya, au asonge mbele aende wapi?
 
Sackho
Mugalu
Duncan
Ni wakuondoka tu Simba tupate nafasi ya kusajiri majembe matatu ya Kigeni .
Mchezaji wa Kimataifa anashindwaje kufit first eleven.
 
Ila Makombo kurudi Utopolo kunamfaa na ni kusonga mbele.
CR 7 kurudi Man U wala haina tatizo.
Anayerudi ni Chama wewe kinakuhusu nini? Au unapendezwa kusikia anabeba majezi?
Huo mfano wa CR 7 na Chama ni irrelevant
 
Kweli makolo wamelaaniwa
Si walisema huyu sakho akikosa goli analia?
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.

Umeongea kwa uchungu sana!
 
Back
Top Bottom