Mr Bigboss
Member
- Dec 20, 2021
- 46
- 13
mwache arudi tuone kama ataendeleza mot ule ule au watampiga misumari 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado,, Utalia Sana...!Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.
Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.
Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.