[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

jamani hiuyo huduma world wide au tz tuu tujuzeni
  • Huduma ya VPN ni world wide.
  • Je VPN ni nini?
A virtual private network (VPN) extends a private network across a public network, such as the Internet. It enables a computer to send and receive data across shared or public networks as if it were directly connected to the private network, while benefiting from the functionality, security and management policies of the private network.[1] This is done by establishing a virtual point-to-point connection through the use of dedicated connections, encryption, or a combination of the two.source
 
habari, samahani jamani nimejaribu kufuata hatua hizo , nimejisajili lakini sijafanikiwa kutumia huduma hata trial ya mb 150
 
wakuu hivi hii ipo kwenye voda tu au hata tigo?
 
Topic closed : Old topic

the trick does not work anymore........
 
hiv una hitaji kuwa na internet connection ili hyo app iweze kukupa hzo mb na zifanye kaz?
 
Basi lishapataga ajali siku nyingi
hahahahahahaah....kweli bwana tena siku nyingi mbona.
Zamani kila kitu mlikuwa mwaweka wazi sasa hivi mnakamua mkiwa uvunguni!!

  • :eek2:
    • :lock1:


 
hahahahahahaah....kweli bwana tena siku nyingi mbona.
Zamani kila kitu mlikuwa mwaweka wazi sasa hivi mnakamua mkiwa uvunguni!!

  • :eek2:
    • :lock1:


sahivi ni Kimya Kimya:behindsofa: masnitch:gossip: ni wengi lol:redface:
 
Kuna tofauti gani Kati ya Troidvpn na Droidvpn settings zake ziko tofauti au zikoje ?
 
Thread ina sema una pata 1gb per day free but app husika wanatoa 150MB per day inakuwaje hapa sasa?
  • 1gb per day free - ilikuwa hivyo wakati huo 2013
  • 150MB per day - iko hivyo kwa sasaa 2015
Kumbuka hii thread ni ya miaka miwili iliyopita.
 
Back
Top Bottom