[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

  • 1gb per day free - ilikuwa hivyo wakati huo 2013
  • 150MB per day - iko hivyo kwa sasaa 2015
Kumbuka hii thread ni ya miaka miwili iliyopita.

ni kweli mitandao yote au
 
rvf2.png

KUHUSU TROIDVPN
TroidVPN inahitaji Android minimum v4.0.4
Inafanya kazi bila ya Rooting
Kila siku utapata 1GB for free
Kupata Unlimited tumia Premium account ya TunnelGuru
7ihf.png

UNACHOTAKIWA KUFANYA
Weka RPort , LPort za ISP wako. Proto - Weka UDP
Ili kupata Open Port Fuata Maelekezo ya Mavoko hapa.
Au nitumie PM nikupe.
Ili kutumia Premium server weka User Id na Password yako ya TunnelGuru
0x7m.png

DOWNLOAD TROID VPN
Google Play
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.in.troidvpn


Officia Site
http://troidvpn.com/​


boss does this still works?
 
Back
Top Bottom