jamani hiuyo huduma world wide au tz tuu tujuzeni
A virtual private network (VPN) extends a private network across a public network, such as the Internet. It enables a computer to send and receive data across shared or public networks as if it were directly connected to the private network, while benefiting from the functionality, security and management policies of the private network.[1] This is done by establishing a virtual point-to-point connection through the use of dedicated connections, encryption, or a combination of the two.source
habari, samahani jamani nimejaribu kufuata hatua hizo , nimejisajili lakini sijafanikiwa kutumia huduma hata trial ya mb 150
Yan sijaelewa chochote
naomba mnielekeze
hahahahahahaah....kweli bwana tena siku nyingi mbona.Basi lishapataga ajali siku nyingi
sahivi ni Kimya Kimya:behindsofa: masnitch:gossip: ni wengi lol:redface:hahahahahahaah....kweli bwana tena siku nyingi mbona.
Zamani kila kitu mlikuwa mwaweka wazi sasa hivi mnakamua mkiwa uvunguni!!
- :eek2:
- :lock1:
Kuna tofauti gani Kati ya Troidvpn na Droidvpn settings zake ziko tofauti au zikoje ?
dahh!!so nowadays mambo yote ni :behindsofa:.new comer tumemiss hiisahivi ni Kimya Kimya:behindsofa: masnitch:gossip: ni wengi lol:redface:
ni kama unasema scania na isuzu. inafanya kazi moja ila wamiliki tofauti
Thread ina sema una pata 1gb per day free but app husika wanatoa 150MB per day inakuwaje hapa sasa?