Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hello JF!
Heshima kwenu na kwangu, uwepo wetu humu ndio unafanya jamii forum iendelee kuwepo. Japo niiliifahamu JF mapema mwaka 2012, lakini tarehe kama ya leo mwaka 2015 ndio rasmi nilijoin kama member. Kwangu si midogo, ukizingatia wapo member waliotangulia, R.I.P kwao.
Naheshimu ushirikiano wenu kwangu nyinyi nyote, sio siri mmenifaa sana katika nyakati nyingi. Hasa kwangu ndio mtandao pekee nikijisikia upweke nikiingia huku basi nakuwa kama niko na familia kubwa karibu. Kama ilivyo sehemu nyingine wakutanapo watu kuna pumba na mchele lakini ikizingatiwa katika jamii yeyote hatuwezi kufikiri/kuwaza sawa.
Ni ww na ungo wako kuweza kupeta na kupembua vyema kupata unachohitaji. Nami naweza sema nimepata na naendelea kupata ninachohitaji kutoka kwenu.
Asanteni sana.
Sina mengi ni mimi mtoto wenu mpendwa
troublemaker
JF-mwanachama mzoefu
Natokea - Tanganyika
Jinsia - ME
Tar ya kuz - August 4
Mahusiano - Singleπ