Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

Ukiipata fighter kama hii hautakua na stress as hii inapiga route za hapa hapa town, machimbo to damping places. Kasheshe ukimiliki upcountry routes asee ukiiona simu ya dereva wako lazima tumbo liungurume.

View attachment 1531721
Hivi hizi munaagiza kutoka Japan au kuna mahali hapa Tanzania wanauza?.
Bora ipi uagize au kununua hapa hapa?.
Ile 4.5m³ ni tani ngapi?.
 
Hii mnaiitaje?


Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Haiwezi sababu injini za 16 au 17 zilizo katika Fuso hazitofanya kazi Kwa ufanisi kuvuta tani 30+.

Labda utumie Fuso Super Great ambazo zina injini kubwa.
Hizi Super Great sio nyingi hapa bongo?
Naona nyingi zinatumika sana Uganda na Zambia.
Zina bodi kubwa kinoma.
Masahisho kama nimepotea
 
Hizi Super Great sio nyingi hapa bongo?
Naona nyingi zinatumika sana Uganda na Zambia.
Zina bodi kubwa kinoma.
Masahisho kama nimepotea
Kwasasa ndo watu tunahamia huko. Ila ninkweli mwanzoni hazikua nyingi Bongo

Sasa hivi Super Great hailali aisee madalali na wenye mizigo wanazikimbilia balaa

Na zina mbavu balaa. Natamani sana vyuma vilegee nivute moja la FAW
 
Hahahaaa nakazia hapo kwenye tandamu(TANDEM)

Kuna mtu alikua anabisha humu kuwa Wajapani wanatengeneza vile
Nikamwambia nna uhakika hata wao wanatushangaa jinsi tulivyofanya modification (modi) ya Fuso zao kwa gereji zetu za Tabata na Wachaga wa Moshi
 
Ndio mkuu ila model yao ni 35.34 sijui nadhani

Ndo tunaziita super Great tu hivyo hivyo. Kuna jamaa yangu alinunua 2 kwa Wachina walimaliza kazi ya barabara. Tairi kdogo limetulia balaa. Halishindwi kitu
Mkuu unamaanisha Faw hizi.

 
kiongozi uko vizuri sana kwenye ugavi[emoji736]
 
Uzi mzuri but naona kama uzi ume base sana kwenye biashara ya usafirishaji ambayo ni local sana, please wenye ujuzi na uelewa njooni hapa muongeze nyama kwa kutupa information upande wa logistics transit ambapo mimi binafsi ndo naona kuna faida zaidi ila kwa mfanyabiashara smart!!!
 
Anza kwa kuelezea kwanza, ni kwa vipi transit ina faida kuliko local?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Anza kwa kuelezea kwanza, ni kwa vipi transit ina faida kuliko local?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Niliwah kufanya kaz somewhere kwa boss fulani although sikuwa najishughulisha na logistics but anamiliki trucks na anafanya biashara hiyo kwa kias fulan nilipata kujua bei za usafirishaji local kiukwel zinaumiza kwa mfano alikuwa anabeba viaz mbeya to dar tani 20 kwa milion na laki mbili na hapo bado yamefanyika mabishano makali kati ya dalali, mwenye mzigo na boss!!!
 
Duuuu! Huyu boss wako amenishangaza sana.. na kuna uwezekano hajui anafanya nini!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Duuuu! Huyu boss wako amenishangaza sana.. na kuna uwezekano hajui anafanya nini!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Nashauri wadau pia wanahitaj ushauri kuhusu hii biashara wajue pia kuna up and down in this sector sio mara zote hizo bei zitakuwa kama zilivyo wewe unaweza kuwa shaidi especially at this term hii biashara ilibuma sana even transit ambao kidogo kuna maslahi also biashara ilikuwa mbovu sijui sas kwa local!!!!
 
Mkuu unamaanisha Faw hizi.

View attachment 1733958
Yeah mkuu. Hatari sana hiyo mzigo inayobeba sitasema tu na inatoboa vizur mizani

Itakuwa anamaanisha configuration ya axle pale mbele (mende).

Mitsubishi Fuso zao Zinaitwa Super Great, Isuzu Wana Isuzu Giga.
Aisee sikujua kama na Isuzu anazo yenye axle 4 mbele. Ngoja nizungukie nako huko. Uzuri wa Isuzu zinaingiliana vizuri sana na Fuso(Injini na Gear box)....unaweza ukatoa chotara Mzuri sana
 
Uzi mzuri sana huu hongera mkuu bujibuji kuja na wazo hili.
 
Hiyo Faw ya mchina ya 8×4 Ina nguvu sana na huna haja ya kuongeza spring wewe ni kubeba mzigo kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…