True Story, baadhi ya watu ni hatari sana sana

True Story, baadhi ya watu ni hatari sana sana

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya kulalamikiwa, kusababisha kero hapo mahala, kinyume chake mmasai alikana na kusema hahusiki na kero inayotuhumiwa, kwa kukataa usuluishi ikalazimu achukuliwe mpaka kituo cha polisi kidogo, huku mmasai akifoka ""

Mimi sishikwagi hovyo na Wewe askari utanitambua " wakati anaingizwa selo, kitendo cha mlango kufungwa kwa nje kama ilivyo kawaida, yule askari ghafla akaanza kutetemeka na kupoteza fahamu na hatimaye kudondoka chini, baada ya hilo kutokea alikimbizwa hospitalini Amana, na baadae muhimbili lakini kwa bahati mbaya sana tarehe 12 ndugu yetu alitutoka hivi hivi!

°How other human posses extreme evils power to harm other,
Am so sad,
Rip, Mar....n.
 
How sure are u that the maasai guy had some magic inside him.

Maybe the police guy was sick.

Justification yako haiko balanced.
 
Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya kulalamikiwa, kusababisha kero hapo mahala, kinyume chake mmasai alikana na kusema hahusiki na kero inayotuhumiwa, kwa kukataa usuluishi ikalazimu achukuliwe mpaka kituo cha polisi kidogo, huku mmasai akifoka "" mimi sishikwagi hovyo na Wewe askari utanitambua " wakati anaingizwa selo, kitendo cha mlango kufungwa kwa nje kama ilivyo kawaida, yule askari ghafla akaanza kutetemeka na kupoteza fahamu na hatimaye kudondoka chini, baada ya hilo kutokea alikimbizwa hospitalini Amana, na baadae muhimbili lakini kwa bahati mbaya sana tarehe 12 ndugu yetu alitutoka hivi hivi!

°How other human posses extreme evils power to harm other,
Am so sad,
Rip, Mar....n.
Mmh,nikweli au? Huyo mmasai dawa apigwe risasi afie mbali,shetani huyo sio mtu
 
Inafaa huyo mmsai
Asaidie taifa dhidi ya ccm.
1. Atusaidie kwa Chura kiziwi asikie
2. Makala Muongo wa taifa
3. Mwigulu anayetufukuza kwenda burundi
4. Nape anayefunga goli la mkono
..na wengineo

brazaj ongezea wahalifu wengine
 
Hakuna uhusiano wowote,ni kwamba polisi alikuwa anaumwa au kama alipata stroke hiyo muda huo ambao alikuwa anafunga mlango wa Cell.

Mungu ailaze roho yake panapostahili
 
Huyo Askari ni laana tu zinamsumbua usitake kumsingizia huyo mmasai... Laana ziwe juu ya ccm na wanachama wao
 
Dah! Huyo mmasai bado yupo sero au kaachiwa? Inatakiwa apigwe risasi ili hayo majini yake yazuie risasi isimuingie kiti wao!
Baada ya "" Mar.... n", kudondoka walimuachia aende zake, maana kesi haikuwa wizi au ualifu, bali ilikuwa ni malalamiko tu ya mitaani.
-jamaa alikuwa mtu mzuri sana.
 
Huenda ni KARMA imefanya yake na Masai wala hahusiki na chochote.

Kumbuka asikari wetu baadhi yao hawana tofauti kimatendo na Shetani.

Ila kama Masai kahusika naye KARMA itamlipa sawasawa na matendo yake.
 
kwahiyo nyinyi polisi ndo hamtakiwi kufa siyo?,, yani nikionaga jezi hasira zinawaka.yani familia yangu ina historia mbaya kabisa juu yenu
Polisi si watu wabaya vile dhana iliyopo ni wanadamu Wana utu sana, ispokuwa wapo wachache sana labda 1% ndiyo wenye mambo ambayo labda hayapendezi, kwa sasa jeshi letu ni la kisasa sana
 
Back
Top Bottom