Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mmh,nikweli au? Huyo mmasai dawa apigwe risasi afie mbali,shetani huyo sio mtuJuzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya kulalamikiwa, kusababisha kero hapo mahala, kinyume chake mmasai alikana na kusema hahusiki na kero inayotuhumiwa, kwa kukataa usuluishi ikalazimu achukuliwe mpaka kituo cha polisi kidogo, huku mmasai akifoka "" mimi sishikwagi hovyo na Wewe askari utanitambua " wakati anaingizwa selo, kitendo cha mlango kufungwa kwa nje kama ilivyo kawaida, yule askari ghafla akaanza kutetemeka na kupoteza fahamu na hatimaye kudondoka chini, baada ya hilo kutokea alikimbizwa hospitalini Amana, na baadae muhimbili lakini kwa bahati mbaya sana tarehe 12 ndugu yetu alitutoka hivi hivi!
°How other human posses extreme evils power to harm other,
Am so sad,
Rip, Mar....n.
Inafaa huyo mmsaiJuzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya kulalamikiwa, kusababisha kero hapo mahala, kinyume chake mmasai alikana na kusema hahusiki na kero inayotuhumiwa, kwa kukataa usuluishi ikalazimu achukuliwe mpaka kituo cha polisi kidogo, huku mmasai akifoka "" mimi sishikwagi hovyo na Wewe askari utanitambua " wakati anaingizwa selo, kitendo cha mlango kufungwa kwa nje kama ilivyo kawaida, yule askari ghafla akaanza kutetemeka na kupoteza fahamu na hatimaye kudondoka chini, baada ya hilo kutokea alikimbizwa hospitalini Amana, na baadae muhimbili lakini kwa bahati mbaya sana tarehe 12 ndugu yetu alitutoka hivi hivi!
°How other human posses extreme evils power to harm other,
Am so sad,
Rip, Mar....n.
Mkuu ni kweli tupu 100%Mmh,nikweli au? Huyo mmasai dawa apigwe risasi afie mbali,shetani huyo sio mtu
Dah! Huyo mmasai bado yupo sero au kaachiwa? Inatakiwa apigwe risasi ili hayo majini yake yazuie risasi isimuingie kiti wao!Mkuu ni kweli tupu 100%
Kuna watu si watu humu duniani.
Baada ya "" Mar.... n", kudondoka walimuachia aende zake, maana kesi haikuwa wizi au ualifu, bali ilikuwa ni malalamiko tu ya mitaani.Dah! Huyo mmasai bado yupo sero au kaachiwa? Inatakiwa apigwe risasi ili hayo majini yake yazuie risasi isimuingie kiti wao!
kwahiyo nyinyi polisi ndo hamtakiwi kufa siyo?,, yani nikionaga jezi hasira zinawaka.yani familia yangu ina historia mbaya kabisa juu yenuMkuu ni kweli tupu 100%
Kuna watu si watu humu duniani.
kaka, jezi zenu zinawaponzaBaada ya "" Mar.... n", kudondoka walimuachia aende zake, maana kesi haikuwa wizi au ualifu, bali ilikuwa ni malalamiko tu ya mitaani.
-jamaa alikuwa mtu mzuri sana.
Polisi si watu wabaya vile dhana iliyopo ni wanadamu Wana utu sana, ispokuwa wapo wachache sana labda 1% ndiyo wenye mambo ambayo labda hayapendezi, kwa sasa jeshi letu ni la kisasa sanakwahiyo nyinyi polisi ndo hamtakiwi kufa siyo?,, yani nikionaga jezi hasira zinawaka.yani familia yangu ina historia mbaya kabisa juu yenu