True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

Sehemu ya 9

Nilijiegesha kitandani, mawazo yalizonga, nilijaribu kuvuta picha itakuwaje kwenye uwanja wa vita dhidi ya yunge, bibi na watu wengine wengi wenye uchu na nyama za watu? Huku sio kujitaftia matatizo kweli? Niliwaza.
****

Nilishtuliwa na babu akinitikisa niamke haraka, nilikurupuka nikidhani muda wa kwenda kufanya maangamizi ya yunge na washirika wake sasa umewadia, lahaulaa! Nilijidanganya hakika, kulikuwa kumekucha tena jua limechomoza, niliangaza huku na kule, yalikuwa mazingira tofauti na ndani nilimokuwa nimelala.

Tulikuwa makaburini asubuhi ile, niliogopa sana, yani nilale ndani usiku, ila kunakucha nimelala makaburini? Nilishangaa na hofu ilinikamata vibaya mno.

Tuondoke haraka, aliamrisha babu aliyeonekana kuchanganyikiwa na kitendo kile,
Hawa wajinga wametushtukia, na hali itakuwa mbaya sana, wametuwahi, alisema babu kwa masikitiko.

Kwani imekuaje babu, maana jana uliaga kwamba saa 7 ungerudi ili tukainze kazi yetu, ukaniacha ndani nmejilaza, inakuwaje kunakucha tupo makaburini? Dah!
Vifupi sana daaah
 
Hivi Mafisango Chama ndo uliihamishia hii issue inbox?!
 
Vipi Kaka tupe muendelezo tumenogewa,umekua kimya mda mrefu broo,shusha vitu man,au ushaliwa nyama na yunge kabla hujamaliza stori
 
Back
Top Bottom