Kaongea vitu vingi vya uongo yaaani babu yake ndo awe anamuita dogo muongo mkubwa na Ole wake arudi
Aache kupotosha umma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Wewe mchokozi sana.. unamuita muongo huku unasoma.
Jamaa kashasema Kama unajua zaidi yake simulia wewe.
Au hapa kuna Wale waliokua nae mkutano wa wachawi usiku ule pale mtini?
Kwanini usisubiri mpaka mwisho ndio ukatoa makosa unayohisi? Kwanza Nani kakupa kazi ya u editor?sisi tunaangalia kiwango cha uongo kwenye story. kikipitiliza tunaingilia kati. lengo ni kuwafanya watungaji wawe smart.
Kwanini usisubiri mpaka mwisho ndio ukatoa makosa unayohisi? Kwanza Nani kakupa kazi ya u editor?
anavuta vuta pumzi. story ya uongo sana. na anajua wabongo wanapenda sana uchawi.... kawapatia humo humo na uongo mwingi sana wa kitoto.
Arudi kutoka wapi? Nipo hapahapa na si muda mrefu naanza kuziweka.Kaongea vitu vingi vya uongo yaaani babu yake ndo awe anamuita dogo muongo mkubwa na Ole wake arudi
wewe ukikuta mtoto wako amewekewa sumu kwenye chakula anaanza kula utasubiri mpaka amalize kula ndo umsaidie?Kwanini usisubiri mpaka mwisho ndio ukatoa makosa unayohisi? Kwanza Nani kakupa kazi ya u editor?
Kaka usipovutiwa na Jambo, just ignore tu kimya kimyaMkikaa mmevimbiwa maharagwe mnawaza jinsi ya kuja kudanganya watu huku JF kinachokera ni kuandika Hadith ya kweli wakati inaonekana kabisa ni ya kutunga. na sasa unaanza ku struggle kuunganisha matukio maana umekaribia kumaliza uongo. hadith ina uongo ambao hata mtoto wa darasa la 2 tu anaugundua. maongezi unaweka ya kitoto mara sijui chama na bao la nkana. kijijini hayo wanayajulia wapi tena na wanawake. yaani maongezi unayoandika yanaonesha hata wewe bado mtoto hujielewi
Hebu weka na wewe hadithi yako ya ukweli tuone au unataka tuanze kimchangia Hela kabisa kwa mkasa wake huu maksusi ili uumie zaidi??!Mkikaa mmevimbiwa maharagwe mnawaza jinsi ya kuja kudanganya watu huku JF kinachokera ni kuandika Hadith ya kweli wakati inaonekana kabisa ni ya kutunga. na sasa unaanza ku struggle kuunganisha matukio maana umekaribia kumaliza uongo. hadith ina uongo ambao hata mtoto wa darasa la 2 tu anaugundua. maongezi unaweka ya kitoto mara sijui chama na bao la nkana. kijijini hayo wanayajulia wapi tena na wanawake. yaani maongezi unayoandika yanaonesha hata wewe bado mtoto hujielewi
Huwezi kuweka maana uongo umeisha tayar hivo unatafuta namna ya kuunganisha uongoArudi kutoka wapi? Nipo hapahapa na si muda mrefu naanza kuziweka.
Naam, kivyovyote itavyokuwa naamini hata wewe unangoja huo uwongo ukuburudishe pumbavHuwezi kuweka maana uongo umeisha tayar hivo unatafuta namna ya kuunganisha uongo
Unatabia za kike sana wewe na dada ako jeni wote sawaMkikaa mmevimbiwa maharagwe mnawaza jinsi ya kuja kudanganya watu huku JF kinachokera ni kuandika Hadith ya kweli wakati inaonekana kabisa ni ya kutunga. na sasa unaanza ku struggle kuunganisha matukio maana umekaribia kumaliza uongo. hadith ina uongo ambao hata mtoto wa darasa la 2 tu anaugundua. maongezi unaweka ya kitoto mara sijui chama na bao la nkana. kijijini hayo wanayajulia wapi tena na wanawake. yaani maongezi unayoandika yanaonesha hata wewe bado mtoto hujielewi
weka namba ya simu hapa uchangiwe... sisi tupo kuwasaidia ninyi wenye uelewa hafifu. hili ni jukwa huru so atakosorewa tu akitaka kudanganya.Hebu weka na wewe hadithi yako ya ukweli tuone au unataka tuanze kimchangia Hela kabisa kwa mkasa wake huu maksusi ili uumie zaidi??!
Au tumtafutie publisher aandike kitabu!?? Au apewe ulinzi? Kwani wewe unaumizwa na nn na uongo huo!!
sawa rafiki yake jeni. ndo maana wewe na sister mpaka sasa hamjaolewa. mtulie sasa.Unatabia za kike sana wewe na dada ako jeni wote sawa
Brooo tumesubiria sana kama unaona huwezi endelea tuambie tusipite tena kwenye uzi wakoNaam, kivyovyote itavyokuwa naamini hata wewe unangoja huo uwongo ukuburudishe pumbav
Ukipita ama usipite nitapungukiwa ama kuongezewa nini?Brooo tumesubiria sana kama unaona huwezi endelea tuambie tusipite tena kwenye uzi wako
Tuendelee Mkuu puuzia mihemuko ya humuUkipita ama usipite nitapungukiwa ama kuongezewa nini?
Basi nausipite.