feisal firdaus
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 424
- 675
Gari la mkaa limewaka episodes za kutosha subiri tumpe makavu aendelee tena
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiheshimu kijana utakuja ukazwenaona unajaribu kubalance
1. uchawi
2. ngono
ili uwapate wote kwa wakati mmoja. tulia tunga vizuri na nakupa tahadhali watu hawapendi kucheleweshewa hadithi so fanya hima wahi.
The funny thing is, you are following this (ficticious) story religiously.naona unajaribu kubalance
1. uchawi
2. ngono
ili uwapate wote kwa wakati mmoja. tulia tunga vizuri na nakupa tahadhali watu hawapendi kucheleweshewa hadithi so fanya hima wahi.
Hatimae umenogewa pumbav.naona unajaribu kubalance
1. uchawi
2. ngono
ili uwapate wote kwa wakati mmoja. tulia tunga vizuri na nakupa tahadhali watu hawapendi kucheleweshewa hadithi so fanya hima wahi.
Sasa mzee si uendelee kuweka maneno au ndio imefika mwisho.Hatimae umenogewa pumbav.
Mahali nilipo siyo rafiki, naona kufikia saa 12 jioni nitakuwa nimefika sehemu yangu huru na nitaanza kuziweka kwa wingi.Sasa mzee si uendelee kuweka maneno au ndio imefika mwisho.
Tunakusubiri kamandaMahali nilipo siyo rafiki, naona kufikia saa 12 jioni nitakuwa nimefika sehemu yangu huru na nitaanza kuziweka kwa wingi.
unaandika kwa uzoefu wako nadhani.Jiheshimu kijana utakuja ukazwe
leta story hapa watu tukague na utunge kitu cha maana si ujinga ujinga wa kila siku na kuwaambia watu ni true story.mambo yameshaanza kukuwia magumu pumbav.... nipo nyuma yako hapa ukienda kushoto nipo, kulia nipo...Hatimae umenogewa pumbav.
yeaaah.... ni kumkumbusha kumweka sawa akili.Gari la mkaa limewaka episodes za kutosha subiri tumpe makavu aendelee tena
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu muongo muongo unamwamini ? Hana anachojua kwenye uandishi haweki Aya Alama za uandishi hamna hakuna muunganiko uongo mwingi yaaani haielewekiSasa mzee si uendelee kuweka maneno au ndio imefika mwisho.
Poa mkaguzi uchwaraleta story hapa watu tukague na utunge kitu cha maana si ujinga ujinga wa kila siku na kuwaambia watu ni true story.mambo yameshaanza kukuwia magumu pumbav.... nipo nyuma yako hapa ukienda kushoto nipo, kulia nipo...
Sasa si ungeenda jukwaa la urembo pumbav.Huyu muongo muongo unamwamini ? Hana anachojua kwenye uandishi haweki Aya Alama za uandishi hamna hakuna muunganiko uongo mwingi yaaani haieleweki
Andika yako mbuzi weweHuyu muongo muongo unamwamini ? Hana anachojua kwenye uandishi haweki Aya Alama za uandishi hamna hakuna muunganiko uongo mwingi yaaani haieleweki