Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Daah umeachia patamu mkuu..sukuma kidogo basi?Naona leo mtandao haupo vizuri kwangu, hivyo tuvumiliane tu labda alfajiri utakuwa vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah umeachia patamu mkuu..sukuma kidogo basi?Naona leo mtandao haupo vizuri kwangu, hivyo tuvumiliane tu labda alfajiri utakuwa vzr
Unapenda minyanduano wewe🤣Acha hizo mfalme mswati...umemfanya nin tatu
Nmejaribu mara kadhaa lakini error inasumbua mnoDaah umeachia patamu mkuu..sukuma kidogo basi?
Pole mkuuNmejaribu mara kadhaa lakini error inasumbua mno
Hahaaha sio sana uwezi amini...hata miez sita au mwaka nakaagaUnapenda minyanduano wewe🤣
Basi nitakuja kukusalimia...ni sawa eeHahaaha sio sana uwezi amini...hata miez sita au mwaka nakaaga
Wakati unaandika zima data.Nmejaribu mara kadhaa lakini error inasumbua mno
Itakuwa wachawi wamemla kichwa, umalaya umemcost
Twende pamojaWana jamvi leo nawaletea stori ya maisha niliyopitia, harakati za maisha, mapenzi, uonevu fitina na uchawi vyote utavipata hapa, ni true stori, lakini majini ya vijiji na watu nitabadilsha kwa ajili ya usalama wangu, karibuni.
Alfajiri ya lini tuweke wazi mpenzi ya YungeNaona tutaendelea 11 alfajiri.
Huyu Yunge mkubwa au Yunge mdogo?Nilimshika manyanda wangu kichwa wazi na kumlengesha kwenye mlango wa yunge
sawaNaona tutaendelea 11 alfajiri.
Je yunge mdogo au mkubwa, Yupi sasa?ambapo niliwakuta yunge na bibi wanapiga soga