True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

146
Babu alinitaka kutozungumza stori za ulozi tukiwa pale nyumbani, hivyo tutatafuta siku tuzungumze yote hayo.

Nilikaa kimya pale kitandani na babu akasema kama nikipona {yaani kukamilisha siku 3 bila sex wala kuoga} atanipa mtihani mdogo na nikifaulu atanipa hadhina ya kijiji.

Ndo nini hiyo babu? Nilimwuliza babu.
Pona kwanza na wakati wakati nakupa mtihani nitakueleza hadhina ya kijiji ni nini, alisema babu huku akiinuka kitandani pale na kutoka nje.

Nilijawa na shauku sana ya kutaka kujua hadhina hiyo ni nini hivyo niliona muda unakwenda taratibu mpaka siku tatu ziishe niliona kama mwezi mzima.

Nilikuwa mpenzi wa michezo hivyo nilitafuta radio one, nilisikiliza muhtasari ambao haukunivutia, haraka nilitafuta tbc taifa na nikatulia pale.

Baadae babu aliniletea msosi nikala huku akinitaka kumwambia bibi kwamba tulienda porini kwa ajili ya zindiko langu wala nisimfiche kitu.

Aliondoka na vyombo huku akinipa dawa aliyonambia ilikuwa ya usingizi, niliinya kisha nikalala.

Hhuuuh! Hhuuu! Sauti za mafisi
 
Tuendelee Mzee
 
Shukrani mkuu, nitaweka kadhaa kabla na baada ya game ya stars.
Pamoja sana
nakushauri kitu kuhusu hawa vijana wenye midomo kama choo cha Shimo...

wachukulie kama wagonjwa wa Mirembe tu wala wasikunyime kasi ya kuendeleza hii hekaya au kufanya shughuli zako

Hawa ni kama mbwa waliofungiwa ndani hata wakibweka vipi... Hawana cha kukufanya
 
Nimekusoma ndugu, sitowajibu tena hao wadudu.
 
Nipo kawe hapa kwa buldoza aposto ninikimetokea kunamuujizahuku A.K.A Mwamposa, sikanyagi mafuta, mimi naogelea kbsa kwenye mafuta. Mlete yunge na babu yako tupambane
mpaka ufike kwenye mafuta tayari watu wameshavimbiwa nyama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…