Oya hamlali?Bado tuko macho mkuu , tunasubulia huo mda ifike[emoji847][emoji847]
leta mambo achana na wapiga miluzi wanatupunguzia kasi mkuuUwongo pekee kwenye stori hii ni majina tu, huwezi amini kunawalozi tena wa mchana kweupe.
Kama hataki uongo mwambie aende kwenye uzi wa kula tunda kimasiharaUwongo pekee kwenye stori hii ni majina tu, huwezi amini kunawalozi tena wa mchana kweupe.
Santo sana Mmarekani nimefikaaa ngoja nitulie nisome vizuri!!
Hapana ameenda kuprotiniPettymagambo Mkuu umeenda kuwanga?
Tatu boya sana...152
Nikweli jana homa ilinibana na kichwa kikawa kinaniuma sana ndipo babu akanitengenezea dawa, ila kwa sasa najiona afadhali kidogo, nilimdanganya yunge mdogo.
Samahani nzehe, naweza kuja usiku wa leo tukaongea jambo muhimu sana? Aliniuliza kwa upole yunge mdogo ambapo nilimkatalia kistaarabu bila kumchukiza kwa kisingizio naumwa hivyo nahitaji kupumzika.
Aliondoka huku nikiwa nimemwahidi siku nikijisikia vizuri nitamwambia aje tuongee ishu yake hiyo ya muhimu huku nikiwaza atakua anataka sex tu.
Siku ilofuata mida ya saa 6 bibi aliniomba nimsaidie kufata maji japo dumu 1 kwani alikuwa kaishiwa maji ya kunywa na vibarua karibu wanakuja kupata msosi.
Nilifika kisimani na kuwakuta wasichana kadhaa na tatu akiwemo.
Kwahio ukanifanya mtoto mdogo kuniweka nakungoja hutokei mpaka nikachoka? Alinidaka tatu juujuu, alafu sijui unaringa nini tu, kwahiyo unajiona mzuri sana ama hizo chale alizokuchanja babu yako ndo zinakupa kiburi? Naunavyonuka jasho sijui umeambiwa usioge wiki nzima ili dawa ikukae sawasawa?
Asante sana ccySanto sana Mmarekani nimefikaaa ngoja nitulie nisome vizuri!!
Wapii baby zu Tayukwa Lovelovie leadermoe Gily cocastic Nakadori Lastmost Mbobo mtzmweusi ERoni kitalembwa Unforgettable Tyrone Kaijage
UsikondeWee kumbe unapitia kimya kimya!! Uwe unanistua namie banaa!
nshawasili nasubir episode nyingineSanto sana Mmarekani nimefikaaa ngoja nitulie nisome vizuri!!
Wapii baby zu Tayukwa Lovelovie leadermoe Gily cocastic Nakadori Lastmost Mbobo mtzmweusi ERoni kitalembwa Unforgettable Tyrone Kaijage
Akitupia usisahau kunitag dearr!!nshawasili nasubir episode nyingine