True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Sehemu unayofata

Basi bana yunge mkubwa alikwenda kutegua mazindiko na kumla nyama nzehe

Nastory ikaishia hapo
Dejane vipi hii sio ngano πŸ˜‚
 
Mtoa story anatukomesha jamani πŸ₯ΊπŸ’”
 
Nzehe Pettymagambo mume wao Yunge's hebu rudi, hii ni Jf ina kauli chafu na safi, hivyo usiangalie wanaokukosea heshima bali tuangalie sisi wengine tunaovutiwa na kujifunza kutokana na simulizi yako
 
Hajawahi kukuvuta uje kusoma ni wewe na kiherehere chako, hebu muache kujipa umuhimu kwenye mambo yasiyowahusu. Msiwe kama watoto wa kike ambao wanataka kujishobokesha kwa mwanaume asiye na time nao, balance shobo na uchape lapa ukiona ni uongo. Hizo tabia mnazoleta wanaume hatuna, msitake tuwaone homoni za kike zimewazidi
 
Yaani Hawa watu natamani jf ingekuwa na sehemu ya VN Ila bahati yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…