Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Haya mambo mimi nawalaumu mods tu, wangekuwa wanafanyia malalamiko yote kuhusiana na kero nza usumbufu wa watu. Mbona kungekuwa shwari humu, JF siku hizi imeingiliwa na watoto moderationa inahitajika kuwa kubwa zaidiYaani Hawa watu natamani jf ingekuwa na sehemu ya VN Ila bahati yao