True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Bora urudi maana wazalendo tulikuwa tunakosa kitu roho inataka, hata hao wengine walikuwa wako arosto ila ndo hivyo walikuwa wanakula jeuri yao.
Ninarudi sasa, hunijui, sikujui, sikudai, hunidai ukiona uwongo futa, kwanza najua haters wote mnafuatilia stori hii na ndosababu mnachungulia hapa kila mara, sasa nasemaje? Nimerudii.
 
Back
Top Bottom