Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
- Thread starter
-
- #1,501
Kunawatu humu wananichukia ila stori inawaburudisha vibaya mno.Kumbe unafatilia story...na wewe hujitambui mkuu
Yaani vibaya mno, achana nao hao MkuuKunawatu humu wananichukia ila stori inawaburudisha vibaya mno.
Kulikoni cuzo[emoji23][emoji23][emoji23]Daah hii story inapoelekea sasa acha nilale tu
CHAI183
Haya mtu wako huyu hapa, naomba zawadi yangu, alisema mage na kunishitua sana kwani nilisahau kuchukua hela nyumbani mpango ambao nilikuwa nao tangu mage aniahidi kwamba anakwenda kumleta tatu.
Nilimwomba radhi mage kwamba nilisahau kuchukua hela kutokana na shauku ya kutaka kumwona tatu, nilimtazama tatu ambae alionekana kuwa mpole kupita kiasi.
Haya mjifiche huko vichakani muongee msije mkaonekana na watu hapa, aliongea mage ambae kiumri alituzidi wote.
Nilimtaka tatu tuelekee vichakani na muda kidogo nilianza kushusha mauongo, nilimweleza kama nilivyomwelezea mage sababu iliyosababisha mimi nisitokee siku ya miadi,
Hakuwa mbishi na alionekana kuumizwa sana na jambo lile.
Kwahiyo tatu mimi nakupenda mno na ndio maana nilikuwa nahamu yakukuona wewe mchumba wangu, niliongea kwa hisia maneno yaliyomfanya tatu anionee huruma mno.
Muda kidogo tulikuwa kama tulivyozaliwa pale vichakani, mimi nikiwa chini na tatu kanikalia akizungusha vikali kiuno chake, nilibaki kufumba tu macho na kusikilizia utammu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wenae kichwa panzi tu, stori nimeeleza vizuri kbs babu kunitaka nisioneshe tofauti yoyote mbele ya bibi wala yunge, sasa nini huelewi?
Ha ha ha.... Nipo nasikiliza maoni na malalamiko toka kwa wasomaji. Kama kuna mambo hamjakubaliana nayo nijulishe tu ili ni wasiliane na mtunzi.Umeanza kua kaongo ntamuita mtetezi wa wasoma hadithi Chizi Maarifa [emoji23]
Uliambiwa ulale nae kwao sio vichakani183
Haya mtu wako huyu hapa, naomba zawadi yangu, alisema mage na kunishitua sana kwani nilisahau kuchukua hela nyumbani mpango ambao nilikuwa nao tangu mage aniahidi kwamba anakwenda kumleta tatu.
Nilimwomba radhi mage kwamba nilisahau kuchukua hela kutokana na shauku ya kutaka kumwona tatu, nilimtazama tatu ambae alionekana kuwa mpole kupita kiasi.
Haya mjifiche huko vichakani muongee msije mkaonekana na watu hapa, aliongea mage ambae kiumri alituzidi wote.
Nilimtaka tatu tuelekee vichakani na muda kidogo nilianza kushusha mauongo, nilimweleza kama nilivyomwelezea mage sababu iliyosababisha mimi nisitokee siku ya miadi,
Hakuwa mbishi na alionekana kuumizwa sana na jambo lile.
Kwahiyo tatu mimi nakupenda mno na ndio maana nilikuwa nahamu yakukuona wewe mchumba wangu, niliongea kwa hisia maneno yaliyomfanya tatu anionee huruma mno.
Muda kidogo tulikuwa kama tulivyozaliwa pale vichakani, mimi nikiwa chini na tatu kanikalia akizungusha vikali kiuno chake, nilibaki kufumba tu macho na kusikilizia utammu.
Pettymagambo hebu mblock huyu team afande wa Zenj.Wenae kichwa panzi tu, stori nimeeleza vizuri kbs babu kunitaka nisioneshe tofauti yoyote mbele ya bibi wala yunge, sasa nini huelewi?
Unamaanisha yule afande aliyetrend mitandaoni juzijuzi?Pettymagambo hebu mblock huyu team afande wa Zenj.
hawakuchukii mkuu ni vile wanapata arosto iliyopitiliza.Kunawatu humu wananichukia ila stori inawaburudisha vibaya mno.
Hance Mtanashati the remaining cocastic ahusike na huu ujumbeHatimae na mm nimeimaliza, hii story....ukiita wewe chai! Lete wewe kitafunio! Blalifakin wahed!....
Wengine twainywa hivyo hivyo! Bila hata kitafunwa!
Kuna pimbi kadhaa humu lengo ni kutuharibia burudani tu! Si zigeuke yunge au tatu basi zisukumiwe hata machakani! Blalifakin wahedi!
Yes mkuu sitosahau ilikua kazi za minara. Zamani sana.Yani ulilala ndani then ukajikuta upo nje au?