jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Kwa walima ufuta huko, njinjo zinga kimambi mpaka liwaleMzee njinjo unapafahamu, maeneo kama zinga kibaoni au zinga miguruwe,nainokwe ,nakin'gombe nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa walima ufuta huko, njinjo zinga kimambi mpaka liwaleMzee njinjo unapafahamu, maeneo kama zinga kibaoni au zinga miguruwe,nainokwe ,nakin'gombe nk
👎👎Mleta mada ndiye story teller mbovu zaidi kuwahi kutokea JF
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujatuambia harufu uliyomkuta nayo Tatu,maana wasichana wa kijijin ukimshitukiza game tena mchana hizo harufu utakazokutana nazo zitakuwa sio za kawaida
Hatari sana ufuta unalima lkn huvuni kwa kiwango kinachotakiwa mkuu.Kwa walima ufuta huko, njinjo zinga kimambi mpaka liwale
Babe nikupe pole au nikuacheMimi nakupenda kwangu mizigo niliogopa mizigo ya kisukuma haswa ya huko kwao Geita, Mwanza na Shy. Wasukuma wachawi sana.
Anayoeleza ni kweli.
Nililazwa nje Geita imagine na hapo ndiyo nilikua tu mjini. Sengerema kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cuzo hawa wachawi wanapenda sana mizagamuanoKulikoni cuzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah nimepata sisimko la bei mbaya.Babe nikupe pole au nikuache
[emoji23][emoji23][emoji23] Unatia hurumaDah nimepata sisimko la bei mbaya.
Nipo pole mrembo kwa kweli usiniache
Mi show yakuchanganyia na ndumba,unajiona unaenda na feni bovu kumbe una utelezi wa kibwengo[emoji23][emoji23] ndio dunia cuzo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cuzo hawa wachawi wanapenda sana mizagamuano
Wamekupiga chitola?Hatari sana ufuta unalima lkn huvuni kwa kiwango kinachotakiwa mkuu.
Get Rich ulimruhusu afanye mambo yake apost story akijisikia imekuwaje tena mpenzi hahahaPettymagambo kama umesahau uzi ulipo basi angalia hii tag
Get Rich ulimruhusu afanye mambo yake post story akijisikia imekuwaje tena mpenzi hahaha
😅😅😅😂😂 unajua mpenzi na mm ka arosto kameniingia sema tu naona soo kufos mambo😅😅Get Rich ulimruhusu afanye mambo yake post story akijisikia imekuwaje tena mpenzi hahaha
Nimejiunga Jamiii Forum kwa ajiri ya Yunge Mkubwa na mdogo 😁.185
Tulifika bombani kwa kutangulizana, nilitangulia mimi huku tatu akiwasili dakika mbili baadae, tulingoja kidogo kwani foreni haikuwa ndefu sana muda huu.
Leta nikusaidie kuchota maji tatu, nilimwambia ili kuwafumba macho wengine waliokuwepo pale wasijue tulitoka kukifanya muda mfupi uliopita.
Mhh! Kweli wagombanao ndio wapatanao, aliongea mwanamke mmoja huku akijitwisha ndoo ya maji na kuondoka, sikujali kwani nilijua kila mmoja atakua anajua kilichotokea baina yangu na tatu wiki mbili zilizopita.
Tukiwa njiani tunarudi nyumbani, nilimsisitiza tatu kwamba nilikuwa nampenda mno na tusahau yaliyotokea, kweli alionekana kuwa mpole na mnyenyekevu tofauti kabisa na yule tatu niliemjua mimi.
Tulipofika mahala pakutawanyika nilimsisitiza asiache kunifata usiku kwani raha alizonipa sijawahi pewa.
Sifa nilizompa zilimlevya na kumfanya ukenue kila muda bila kujua kwamba alikuwa anauvaa mtego ambao mimi sikujua malengo ya mtego wenyewe.
Tulitanyika pale na kila m1 akashika njia yake.
Je nini kitatokea? Usikose.
Nipo na familia mkuu pasaka hii na sidhani kama nitapata tyme ya kuandika ndani ya siku 3 hizi.Pettymagambo kama umesahau uzi ulipo basi angalia hii tag
Uwiiii nitakonda mie😭Nipo na familia mkuu pasaka hii na sidhani kama nitapata tyme ya kuandika ndani ya siku 3 hizi.