True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Mzee hi story yako imeniogopesha Sana want narudi home nilipitia swaswa , Kisha kuja ilazo Ninako ishi natembee mdgomdg kuelekea ilazo huku nasoma story yako ajabu nikakutana na paka mwenye mabaka meusi meusi na meupe akasimama kwa ujasiri Basi namm nikamvyonza [emoji23] Kisha nikaendekea nasafar nafika home nafuta geti nashangaa kumuona yule paka Tena akinitangulia mbele yangu kwa kuruka ukuta na Kisha kukimbilia uvunguni mwa gari iliyo paki nikitafuta fimbo nimfate huku najeuza macho HV kurud sijamuona paka
Aliko pitaa huwenda Ni yunge ananichezea


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu kumbe upo ilazo hapo?
Mwez ujao nakuja Dom,nitakuita tule 🍺bariid hapo Bambalaga
 
Nimepata malalamiko kuwa unachelewa sana kuleta episodes. Usiendelee kuwakwaza wasomaji. Leta episodes nyingi na zenye ujazo. Sipendi tuingie kwenye mgogoro halafu niku remove jukwaani. So zingatia haya ili tusije onana wabaya. Pia wengi wanataka uwatangazie moja ijulikane kuwa HICHO NI KIJIJI CHA WACHAWI. KUWA KILA MTU NI MCHAWI. AMA SIVYO WEKA NA CHARACTERS AMBAO SI WACHAWI.

Natumaini utayafanyia kazi haya. Nasubiri utekelezaji.
 
Back
Top Bottom