True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Umeanza kuharibu ulipofika sehemu ya 36 na hasa 37. Mimi ni mwanaume kunidanganya acha!
Kikawaida kwa mwanaume kupita muda mrefu bila kufanya,siku akitunukiwa dakika 6 ni nyingi tukio zima linakuwa limekamilika,labda next round sasa ndipo hizo mbwembwe sijui kulamba mara blaablaa ndipo zitafuata.
Mara ya kwanza unadinya yalikutoka kwa haraka? Huenda ulianza kunyandua ukiwa kijeba
 
Umeanza kuharibu ulipofika sehemu ya 36 na hasa 37. Mimi ni mwanaume kunidanganya acha!
Kikawaida kwa mwanaume kupita muda mrefu bila kufanya,siku akitunukiwa dakika 6 ni nyingi tukio zima linakuwa limekamilika,labda next round sasa ndipo hizo mbwembwe sijui kulamba mara blaablaa ndipo zitafuata.

Lkn pia ninahisi wewe ndiye uliyewahi kuandika thread yenye heading HOW I MET MY WIFE.
Sina uhakika sana ijapo kwa kipindi hicho sikuwa member bali nilikuwa mpenzi msomaji tu.
Usihalalishe kwamba wote ipo hivyo na pia katika hadhithi sio kila kitu kitahadithiwa mengine hupunguzwa ili kufanya story iwe fupi

Hata biblia haisemi kila kitu inanyamaza kwingi tu kuruani sijui ila nahakika haisemi kila kitu pia
 
...55
Acha mkwara we mzee nakama wakinikamata nitasema wewe ndo ulinituma.
Nilijikakamua na kumwambia ingawa moyoni nilikuwa na kimuhemuhe.
Hahahaaaa! Pumbavu, tena umejichanganya, hukupaswa kuoga bali ungeanza kutimua mbio kabla hawajafika. Aliendelea kutania babu wakati huu nilitambua kumbe ni utani tu.
Nichelewe wapi wakati kuna baiskeli yangu humo ndani haina kazi? Nilitania na kuongeza, ebu ikague kama pumzi inatosha ili nikiipanda iwe kamserereko tu.
Hiii! Sasa hapo kwenye usafiri wangu nitakufunga kabla hata wafungaji hawajakufata alikoroma babu na kweli utani ulikorea nasasa nilianza kumzoea babu yangu na kuvutiwa na ucheshi wake,
Wakati huu natoka bafuni alitania kwa kunong'ona, leo tunabadilishana mawindo dogo! Wewe utakula ng'homele
(nyama iliyobanikwa) akimaanisha bibi, namimi nitakula freshi akimaanisha yunge.
Hapo nipo tayari kabisa unajua bibi yangu bado kisu kabisa? Yaani humwangaliagi tu huko nyuma, nilitania huku nikizichapa hatua kuingia ndani.
Pumbavu nitakung'oa p..bu,
Alifoka babu!
Doh! Bibi yako? Au sijaelewa
 
Mzee baba hii stori umeipatia vurugu mechi yote kumbe ni ndoto [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
 
Umeanza kuharibu ulipofika sehemu ya 36 na hasa 37. Mimi ni mwanaume kunidanganya acha!
Kikawaida kwa mwanaume kupita muda mrefu bila kufanya,siku akitunukiwa dakika 6 ni nyingi tukio zima linakuwa limekamilika,labda next round sasa ndipo hizo mbwembwe sijui kulamba mara blaablaa ndipo zitafuata.

Lkn pia ninahisi wewe ndiye uliyewahi kuandika thread yenye heading HOW I MET MY WIFE.
Sina uhakika sana ijapo kwa kipindi hicho sikuwa member bali nilikuwa mpenzi msomaji tu.
Mnafiki Wa Kujitegemea
 
Back
Top Bottom