Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Weka mambo kati.
Watoto wa kishua hii stori haiwafai
Watoto wa kishua hii stori haiwafai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya hivi wale wachambuzi wa Vita wa Jf wako wapi aisee wanifanyie narration ya mziki wa Taleban
We Mwamba upo... Ulituacha tunaelea kule SouthSawa Mkuu, endelea kushusha Mzigo
Oya hivi wale wachambuzi wa Vita wa Jf wako wapi aisee wanifanyie narration ya mziki wa Taleban
Kwenye picha uyo wa mbele mbele ndo mkuu wa kamati ? "konda msafi"Hii kamati yako inabidi ijiridhishe kwanza😁😁😁
View attachment 1894496
Ndiyo ndiyo!😂😂😂Kwenye picha uyo wa mbele mbele ndo mkuu wa kamati ? "konda msafi"
Story imeishia njiani
Akiendeleza part 7 nitakushtuaStory imeishia njiani
Fanya hivo Mimi story nusu nusu hunikatisha tamaaAkiendeleza part 7 nitakushtua
Namimi nakazia hili au mwenye anajua aliekuwa anaishusha Ile stori anipe jina lake au amtagi hapa atutumie story PM.jamani natafuta ile story ya magaidi wa kibiti, nikifika sehem ya 4, baada ya hapo uzi sikuuona. Mwenye mwendelezo anisaidie
Ni pisi yangu hiyo.😂😂😂😂 avatar yako uliitoa kwenye ule uzi wa VAR nn?
Nipo Mwamba, Mambo vpWe Mwamba upo... Ulituacha tunaelea kule South
Shusha vitu kule.... Nimekumbuka visa vya Ghana boy na Church girlNipo Mwamba, Mambo vp