Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konda msafi na wakuda wenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vile team roho mbaya ya konda msafi inafanya survey kuangalia pa kuanzia![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1892056
Ameingilia tu baada ya kuona Liwale kakimbiaNaona stori inaletwa na ID mbili tofauti, LUWALE na mkorinto. Sijajua kama ni mtu mmoja amejisahau akaingia kwa ID nyingine na kuendeleza stori au kuna mtu ameingilia stori ya mwenzake na kuandika anavyojua
View attachment 1895464
Naona stori inaletwa na ID mbili tofauti, LUWALE na mkorinto. Sijajua kama ni mtu mmoja amejisahau akaingia kwa ID nyingine na kuendeleza stori au kuna mtu ameingilia stori ya mwenzake na kuandika anavyojua
View attachment 1895464
nikasema liwalo na liwe, si nikaanza kuyanywa bwana,Inaendelea
Basi bwana nikamuaga shangazi naenda mlimani kufata mali na utajiri, nilivo fika mlimani nilipigwa na butwaa kuyaona maji ya mercury, nikataka kuyanywaa ile nataka kunywa tu nikasikia sauti unasema kwa kipogolo. kazopata, kazojidai, kazojenga, nilistukaaa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataftwa mtu apigwe hapa vibaya mnoo..mi mwenyew nishawai tapeliwa hvyo hvyo maeneo ya machimbon huko sitosahau ***** zao..mara joka kubwa linakula ndege mara mapangoni stori nyiing..mara toa elf 50 tununue dawa hii mara dawa ile..***** kuja kushtukia hzo 40..mara 60 zmefika lak4...nilishtak polisi wale watu askar walicheka sanaaa wakanambia kesi hzo zipo kama 20 hiv..nmepigwa...enz hzo ..*****..
Balaa lishaanzaNaona stori inaletwa na ID mbili tofauti, LUWALE na mkorinto. Sijajua kama ni mtu mmoja amejisahau akaingia kwa ID nyingine na kuendeleza stori au kuna mtu ameingilia stori ya mwenzake na kuandika anavyojua
View attachment 1895464
Mkorinto kaingilia baada ya kuona luwale yupo kimya
Ulifutwa na majamaajamani natafuta ile story ya magaidi wa kibiti, nikifika sehem ya 4, baada ya hapo uzi sikuuona. Mwenye mwendelezo anisaidie
Nenda twitwaa jamaa aliurepot kwa moods ukafutwaUlifutwa na majamaa