True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Hizi stori zipo sana Morogoro aisee miaka na miaka sijui huwa ni chai na ngano sijui kweli!??...
 
Naona stori inaletwa na ID mbili tofauti, LUWALE na mkorinto. Sijajua kama ni mtu mmoja amejisahau akaingia kwa ID nyingine na kuendeleza stori au kuna mtu ameingilia stori ya mwenzake na kuandika anavyojua

1629194136296.png
 
Inaendelea

Basi bwana nikamuaga shangazi naenda mlimani kufata mali na utajiri, nilivo fika mlimani nilipigwa na butwaa kuyaona maji ya mercury, nikataka kuyanywaa ile nataka kunywa tu nikasikia sauti unasema kwa kipogolo. kazopata, kazojidai, kazojenga, nilistukaaa sana.
nikasema liwalo na liwe, si nikaanza kuyanywa bwana,
yalikuwa na chumvi chumvi kweli ila nilikomaa kibishi.
aisee kushituka, kumbe nilikuwa ndotoni nakunywa mkojo wa mtoto ambaye alikuwa kalala karibu na mimi.
 
Anataftwa mtu apigwe hapa vibaya mnoo..mi mwenyew nishawai tapeliwa hvyo hvyo maeneo ya machimbon huko sitosahau ***** zao..mara joka kubwa linakula ndege mara mapangoni stori nyiing..mara toa elf 50 tununue dawa hii mara dawa ile..***** kuja kushtukia hzo 40..mara 60 zmefika lak4...nilishtak polisi wale watu askar walicheka sanaaa wakanambia kesi hzo zipo kama 20 hiv..nmepigwa...enz hzo ..*****..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom