Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo makiniNi pisi yangu hiyo.
Anatumia jina gni huko twitter na telegramNenda Twitter kisha telegram maana wa Twitter naye hakumaliza
Mwenye uzi yupo twitwa alishtaki kwa Maxence Melo uzi ukafutwa kwaio ukiitaka nenda twita na usach buyobejamani natafuta ile story ya magaidi wa kibiti, nikifika sehem ya 4, baada ya hapo uzi sikuuona. Mwenye mwendelezo anisaidie
BuyobeAnatumia jina gni huko twitter na telegram
Huyo mjinga kwa hyo alianzisha topic kwa lengo gani sasa, watu wakisoma anaumia roho, woooi akafie huko mbele ukichangia huko twitani watu hawako wengi au anataka kulipwa?Mwenye uzi yupo twitwa alishtaki kwa Maxence Melo uzi ukafutwa kwaio ukiitaka nenda twita na usach buyobe
Morning mkuu! Sikuuona kweli huu uzi🤔financial services cjaona comment yako mpk Sasa cjui ujaona Uzi / story wakina konda msafi wanataka kuupiga chini
Mkuu hayupo telegram maana mm sina account twiterMwenye uzi yupo twitwa alishtaki kwa Maxence Melo uzi ukafutwa kwaio ukiitaka nenda twita na usach buyobe
Mluguru wa kwanza kurusha kimombowanafanana kama ulikuwepo, lakini yule wa pale pangoni she was very beatuiful