True Story: Kupenda

True Story: Kupenda

[emoji508]Gahawa...
JamiiForums1964343086.gif

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mwambie ndugu yako apunguze kujieleza pia madem wanapenda miamala
Nilipogundua mi mwenyewe naipenda miamala yangu, nikaachana kabisaa na masuala haya.. najitumia tu mwenyewe toka line hii kwemda nyingime au toka kwenye simu kwenda bank.
Ukiiona ile message walah ni raha sana, achen tu mademu wapende miamala,
 
Mad Max mchizi wangu mwanaume utakosaje swaga la kumlowanisha binti ajilete mwenyewe?😂😂😂
Yaani story chache afu aanze kukuona dhahabu. Sio kuomba upendwe. No way.

Sema. Mwamba hajachelewa, anaweza kuamua kumpotezea mwezi tu demu utasikia mbona umenisusa.
 
Yaani story chache afu aanze kukuona dhahabu. Sio kuomba upendwe. No way.

Sema. Mwamba hajachelewa, anaweza kuamua kumpotezea mwezi tu demu utasikia mbona umenisusa.
Aaah wapi wanawake wenye akili wanaona kinyaa kwa mwanaume mnyonge, zaidi atachunwa tu, binti wa kichaga wanaheshima yao🤣
 
Ndio kazi ya hela..matumizi
Mwanaume wa kuendesha mapenzi kwa jeuri ya pesa ni mwanaume dhaifu sana.
Vocal lako kwanza lazime lipenye moyoni kwa binti.

Nguvu ya pesa ukanunulie wanaojiuza barabarani
 
Mwanaume wa kuendesha mapenzi kwa jeuri ya pesa ni mwanaume dhaifu sana.
Vocal lako kwanza lazime lipenye moyoni kwa binti.

Nguvu ya pesa ukanunulie wanaojiuza barabarani
Huo mda wa kupenda mwanaume unatoa wapi? Huwezi kufanya vyote chagua moja btwn kutafuta hela au kuendekeza mwanamke
 
Mwanaume wa kuendesha mapenzi kwa jeuri ya pesa ni mwanaume dhaifu sana.
Vocal lako kwanza lazime lipenye moyoni kwa binti.

Nguvu ya pesa ukanunulie wanaojiuza barabarani
Pesa ndio inafanya mwanamke akuheshimu..oyaa ukiletewa maji ya kunywa unapigiwa goti?? Kama bado tafuta hela
 
Back
Top Bottom