Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
😄😄 Kama hauja oga, sms haiwezi kufunguka..🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄 Kama hauja oga, sms haiwezi kufunguka..🤣🤣🤣
Wewe unapata shida kwa sababu hutaki kukubaliana na ukweli kwamba Hakupendi, pengine ni kwa sababu ya resources ambazo umeshatumia ili kumuonesha unampenda kama vile fedha. Huyo hakupendi, Face it,, na huo ndiyo ukweli.True story
Yule mtoto wa kichaga baada ya kunikataa niliendelea kupambania Kama siku mbili hivi, lkn yy anadai anajitahidi Sana kunipenda Ila anafeli na hajui kwanii anashindwa kunielewa, baada ya kuongea nae Sana akanieleza yeye Kuna mtu ashakuwa nae kwenye mahusiano, Ila kwa Sasa wameachana na jamaa ndo hamtaki lakini yeye anamsubiria pengine jamaa atarudi waendelee na mahusiano yao.
Nimejitahidi kumuelewesha kuwa huyo mtu anampotezea muda, hapo alipo ana miaka 27 kwa maana ya kwamba kachelewa Sana kwa mtoto wa kike asichaguwe Sana muda unamtupa mkono, lkn bado binti amekuwa mgumu kunielewa na kudai anampenda Sana jamaa...
Inauma Sana kweli, nikaamua kukaa kimya Leo ni siku ya tatu tangu nipige kimya, namuona online Wala hanitafuti hata haniwazi naandika sms kumsabahi lkn roho inaniambia kaza atakuona munyonge, basi naamuwa kukaza na kudelete nlichokuwa naandika.
Wanaa JF Kama Kuna namna naeza fanya niambieni Ushauri wenu.
Kiongozi namshukuru sanaWewe unapata shida kwa sababu hutaki kukubaliana na ukweli kwamba Hakupendi, pengine ni kwa sababu ya resources ambazo umeshatumia ili kumuonesha unampenda kama vile fedha. Huyo hakupendi, Face it,, na huo ndiyo ukweli.
Bro mimi naandika from experience, nilishawahi kumpenda mwanamke mchaga tena wa hukohuko Moshi uru,. wanawake wa hizo pande kama hakupendi hata ufanyaje hawezi akakuelewa, sana sana anaweza akakuchuna mpaka ukachanganyikiwa na wala haoni Huruma.
Hata kesho ukimwona amekuja inbox kwako kujiliza liza wala usimpe chance, songambelea. Na katika hii hatua anayokuonesha hivyo reality ukiendelea kumpa nafasi atakuumiza vibaya sana.
You just drop her, and you drop her fast.!!
wanapenda kudanganywa sana hawa. atafute uongo wowote tu wa kuvutia, hata wa kummilikisha ulaya yote ataingia mkenge, yaani uongo ambao wewe huna maslahi nao, ni kwa ajili yakeKhaaa
"NAOMBA NIPENDE"
Sijaamini what this upo serious
wewe naona umeamua kutuletea story ya kutungaTrue story
Yule mtoto wa kichaga baada ya kunikataa niliendelea kupambania Kama siku mbili hivi, lkn yy anadai anajitahidi Sana kunipenda Ila anafeli na hajui kwanii anashindwa kunielewa, baada ya kuongea nae Sana akanieleza yeye Kuna mtu ashakuwa nae kwenye mahusiano, Ila kwa Sasa wameachana na jamaa ndo hamtaki lakini yeye anamsubiria pengine jamaa atarudi waendelee na mahusiano yao.
Nimejitahidi kumuelewesha kuwa huyo mtu anampotezea muda, hapo alipo ana miaka 27 kwa maana ya kwamba kachelewa Sana kwa mtoto wa kike asichaguwe Sana muda unamtupa mkono, lkn bado binti amekuwa mgumu kunielewa na kudai anampenda Sana jamaa...
Inauma Sana kweli, nikaamua kukaa kimya Leo ni siku ya tatu tangu nipige kimya, namuona online Wala hanitafuti hata haniwazi naandika sms kumsabahi lkn roho inaniambia kaza atakuona munyonge, basi naamuwa kukaza na kudelete nlichokuwa naandika.
Wanaa JF Kama Kuna namna naeza fanya niambieni Ushauri wenu.
Move on bro, achana nae. Jipe muda utamsahau, pole sanaTrue story

Aliomba kupendwa???duh aseee watu wanapitia maswahibuAarghh...nini?
Naomba nipende?
Mjinga sana kijana
Yaani eti🤣🤣🤣Katika ahadi zooote umeona la maana ni kumuintroduce, G bora tu upigwe chini......
🤣🤣🤣Khaaa
"NAOMBA NIPENDE"
Sijaamini what this upo serious