True story: Mkuu wa shule alininajisi!

Nimekusoma Deskmate, na nakubaliana na wewe (except the part you ask me to dig deep, mi nakudigije?)
Na mimi point yangu ilikua kwamba watoto wote wanatakiwa kua protected.
Education ni muhimu as a sustainable, long term solution
Ila kwa sasa tusiseme kosa ni ka victim alie kosa malezi,
Kosa ni la perpetrator aka mkaguzi. so if we want to fix it we need to work both sides.
Short term huku kwa perpetrator, na long term huko kwa mtoto na wazazi wake.

PS: Kipipi sijamuona...
 
Pole Smile kwa kukutwa na mengi ktk maisha! Ni vzr umeliweka hapa ili na wanafunzi au wengineo walio vyuoni au mashuleni watambue kuwa upimaji huu si wa kawaida, na kuchukua tahadhari mapema.
 
hehehe pamoja sana (source: Mke wake Kaizer), hapo kwenye mabano ni slang ya kwetu zimbabwe bana ikimaanisha kama utanifaham vizuri
 
Nilivyoona title umenajisiwa nilikuwa na lakuchangia.. ila hapa main topic naona patupu, ila poleni walengwa.
 
Nilivyoona title umenajisiwa nilikuwa na lakuchangia.. ila hapa main topic naona patupu, ila poleni walengwa.

Haijaisha, usiondoke. Inakuja Part two soon.
Inaonekana part two ndio smile atanajisiwa, tuvute subra
 
hehehe pamoja sana (source: Mke wake Kaizer), hapo kwenye mabano ni slang ya kwetu zimbabwe bana ikimaanisha kama utanifaham vizuri
Kikwenu kigumu bwana, ongea kiswahili
Unaona kwa kiswahili inakuaje?
Sasa mimi ningekuelewaje?
:noidea:
 
Kikwenu kigumu bwana, ongea kiswahili
Unaona kwa kiswahili inakuaje?
Sasa mimi ningekuelewaje?
:noidea:
hehehe kwa kiswahili sredi inaweza ikahamishiwa jukwaa la wakubwa. Acha niombe access kwa invizibo just in case
 
Inaelekea mlikuwa mkifurahia kitendo hicho,kwani vyombo vya sheria havikuwepo? Kwanini hamkutoa taarifa kuhusu unyanyasaji huo?
 
Ndio wapi huko? lol
Huko ndiko walikokutana sweetlady na nitonye wakatongozana.
Halaf deskmate unajua hatuko chit chat? Tukipigwa ban kwa kuchakachua naomba tukutane Michuzi blog kesho saa tatu asubuhi.
Sjui Michuzi anayo option ya PM?
 
Aiseeee!
Shikamoo babu,
Karibu tena,i missed u sn!!!

Ahsante sana Canta,

Nimewamiss nanyia pia....But, niko mzima sana...

Hivi hii hadithi ya smile na majibu yake umeielewa kweli?

Mie naona makenegeza kila ninapofungua page mpya.....

si ndio nitadhalilika zaidi babu?

Kwa mtaji huo basi ni hatari....Kwani uliyofanyiwa ni madogo hadi ushindwe kutoka hadharani??

Mie nilidhani kwa ushauri huu wa wadau basi ungeshaanza mchakato wa kumtafuta lawyer ili kumshikisha adabu huyo mwalimu wako mwenye shetani la kutaka kuchungulia chungulia vitoto vya watu.

Huoni ukifanya hivyo utasaidia pia kuwaokoa wadogo zako wanaendelea kufanyiwa michezo michafu kama hiyo?

Babu DC
 
Huko ndiko walikokutana sweetlady na nitonye wakatongozana.
Halaf deskmate unajua hatuko chit chat? Tukipigwa ban kwa kuchakachua naomba tukutane Michuzi blog kesho saa tatu asubuhi.
Sjui Michuzi anayo option ya PM?
Hahahahaha, kumbe hatupo chit chat?
PM za nini sasa? hapa penyewe penye option ya PM wengine hatutumii!
 
Hahahahaha, kumbe hatupo chit chat?
PM za nini sasa? hapa penyewe penye option ya PM wengine hatutumii!
Hapa majukwaa yapo rahisi ku interact so PM inaweza ikawa last option lakini kwa michuzi comment zenyewe mpaka Michuzi arudi night club ndio anaipublish na hapo ulipocomment ukiondoka dakika 20 tu ukirejea inabidi upatafute kupitia google .

PM ukiitumia kwa wakati sahihi na mtu sahihi na malengo sahihi basi ina raha zake sana aisee. Dont try this at home kama hauko experienced. Lol
 
mlimsemeha kwa wazazi wenu?

au wengine mlikuwa mna enjoy na kutokula likizo kwa raha mkisubiri kwenda kushikwa shikwa.

naamini angesemewa asingeendalea au angehamishwa hata kufukuzwa.
 
Huko ndiko walikokutana sweetlady na nitonye wakatongozana.
Halaf deskmate unajua hatuko chit chat? Tukipigwa ban kwa kuchakachua naomba tukutane Michuzi blog kesho saa tatu asubuhi.
Sjui Michuzi anayo option ya PM?
Wewe na husninyo mlikutana wapi? Ulivosema kuna part two ya hili sredi usingizi umeruka ghafla! Nalisubiria nione kama stelingi smile atauawa!
 
kumbe testimony huwa siyo true story? kidhungu wengine ndo tunajifunza. Samahani Smile kwa kutoielewa thread yako
Hahaha! Ukisema testimony utamu unapotea, ukisema true story inanoga zaidi.... 'True Story ya kutunga' lol.
 
mbona kichwa cha habar hakiendani na habar
 
Wewe na husninyo mlikutana wapi? Ulivosema kuna part two ya hili sredi usingizi umeruka ghafla! Nalisubiria nione kama stelingi smile atauawa!
Tulikutana kwenye mashindano ya kiduku alipoona nimevaa jinzi la rangi ya kijani akajilengesha nikamhonga bluetooth ya nokia hapo ndo likaanzia titanic letu.

Stering smile yuko bafuni atarejea soon kumalizia part two. Uslale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…