Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Nimekusoma Deskmate, na nakubaliana na wewe (except the part you ask me to dig deep, mi nakudigije?)Deskmate! You have a point there lakini dig me deep utaipata point yangu.
Duniani kuna categories kuu tatu linapokuja suala la ubinadamu.
1)Binadamu Wanyama (hawa whatever situationa wataonesha unyama wao): hapa malezi ya mtoto yatasaidia kumfichua huyu mtu kama mtoto atajengwa kujielewa na kujiamini
2)Binadamu wanaojitambua lakini wanaathirika na vishawishi vya kimaumbile: Hawa ni binadamu kamili na wana ubinadamu lakini wana udhaifu wa kuweza kuucontrol ubinadamu wao (hapa malezi ya mtoto yatasaidia katika kumwepusha binadamu huyu asishawishike na akabadilika kuwa mnyama)
3) Binadamu wanaojitambua na wanaoweza kujidhibiti: (hapa malezi ya mtoto sio muhimu sana kwani hata akikosea stepu aidha binadamu huyu atachukua nafasi ya mzazi kumfunza au at least atajidhibiti na kupuuzia.
Conclusion:
Sasa malezi ya mtoto ni muhimu sana kukabiliana na binadamu namba 1) na binadamu namba 2)
Halaf ukimuona kipipi pia nisalimie.
Na mimi point yangu ilikua kwamba watoto wote wanatakiwa kua protected.
Education ni muhimu as a sustainable, long term solution
Ila kwa sasa tusiseme kosa ni ka victim alie kosa malezi,
Kosa ni la perpetrator aka mkaguzi. so if we want to fix it we need to work both sides.
Short term huku kwa perpetrator, na long term huko kwa mtoto na wazazi wake.
PS: Kipipi sijamuona...