True story: Mkuu wa shule alininajisi!

kweli digna sisemi uongo wala sio siku nyingi kiivo ni elfu mbili hii hii wallah
 
mwenyewe ulikuwa unaona raha unatamani kila wiki iwe zama yako kupimwa??
 
sasa tungesemaje ? kwani mimi mimba nilikuwa najua inapimwa vp? nilidhani ndivo inavopimwa
 
Wakati anakushika ulikuwa husikii mihemko na misisimko ya mwili???
 
sio mimi tu mamii kwani siku hz wanapimwaje
 
unafanya mara ngapi kwa mwezi?
bado sijaolewa so sina 24 hrs access na yeye ila kila nipatapo nafasi lazima nifanye hata kama ijumaa+jumosi+jpili consecutively mchana usiku
 
Ila kwa kweli, siredi hii nikiunganisha na ile nyengine, nimecheka sana leo. Imenifungia wiki kwa kicheko cha mwaka. We mtundu sana. Bado sia mini www.com wangekuchezea hivo. Weekend njema Smile!
huyu alikuwa anataka apimwage yeye tu kila wiki yaan hujamshtukia???
 
Digna 'Hakunaga' watoto wajinga kihivyo, lazima angejitokeza hata mmoja akaseme nyumbani kwao manake ni kitu kisichofurahisha!.. Shule nzima mkae kimya jamani, jamani khaaa! Hakunaga mpendwa!
 
hii sijawahi isikia kusema kweli,poleni sana.sie tulishikwaga matiti mara moja tu wakikagua sijui dalili za kansa,na zoezi zima lilifanywa na daktari mdada pamoja na manesi kadhaa wakike.tofauti na hapo mimba tulipimwa kwa mkojo,anaingia mmoja mmoja chooni na matroni kasimama kwenye mlango wa choo anakusanya tubes za mkojo zenye majina.
 
Tuambie jina la shule tukawatoe watoto na wadogo zetu.

Ukute hilo limwalimu bazazi bado lipo linasubiri matiti mapya kila mwaka.
 
bado sijaolewa so sina 24 hrs access na yeye ila kila nipatapo nafasi lazima nifanye hata kama ijumaa+jumosi+jpili consecutively mchana usiku

Hiyo dozi si mchezo hata kale katabia ka kucheka cheka kwako hakapo
 
thax kwa kunitetea mkuu.watu humu wanajua kuchonga tu bila sababu
Karibu sana. Hapa zaidi ninatetea hii dhana ya (ku)najisi ambayo ni dhahania tu "subjective". Sio lazima
kinachokuwa najisi kwa mmoja kiwe najisi kwa wote. Mfano, mbwa na kwa wengine ni "pet" na rafiki wa binadamu,
Na wanyma hao hao mbwa (kwa Wakorea) na nguruwe kwa watu wengine (bila kujali dini) ni mahanjumati yasiyokosekana.

Ni sawasawa na huko kutomaswa, kufinywa na kupapaswa, kwa wengine ni najisi, tendo chafu, lakini kwa wengine...mmmhhh! ...watamaliza wenyewe.
 
baada ya kunitongoza nikakukataa naona unanijia juu siku mingi mkuu.sikutaki basi

dah, smile mbona unatoa siri sasa... yaani unamtolea nje jamaa hadharani hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…