True story: Mkuu wa shule alininajisi!

tulikuwa tunachukia tunalalamika yanaisha tunasubiria msimu mwingine tena
by the way nimekumbuka tu nikaona ni shee na ninyi

Wanazungumza kama vile hapo zamani ulikuwa na haki ya kumshtaki mwalimu wa shule au labda kulikuwa na simu unaweza kuwapigia wazazi na kuwahadithia hayo.

Kwanza ulikuwa huthubutu kutamka vitu kama hivyo mbele ya wazazi utaishia kugeuziwa kibao na pengine kula kichapo cha nguvu kwa kumsingizia mwalimu

Jamani haya mambo ya wanafunzi kupata confidence ya kumsema mwalimu ni ya karibuni tu. Ile generation yetu mwalimu alikuwa Mungu mdogo mitaani
 
......Unasema ulikuwa unapimwa mimba kwa kunajisiwa, ikiwa mtoto mdogo mwenye miaka miwili angejua hilo ni kosa anafanyiwa angenda shitaki wewe vipi mpaa umeisha baleghe hujui kama hilo kosa...Hivi wewe zinakutosha kweli?

Imeelekea una ugomvi wa siri siri na Smile ila mimi nashangaa wewe unauliza as if unaishi dunia nyengine kabisa.

Hata Marekani tumeona viongozi wa dini walikuwa wananyanyasa watoto na hawakuweza kushtaki mpaka hii miaka ya karibuni. Na mwaka jana yule Muaustria aliyemfungia binti yake kwa miaka kumi na... Na kumzalisha watoto na ilihali mkewe alikuwa naye. Utamlaumu mtotp?
 
Reactions: Mbu

huyu kasema hii issue ni miaka ya 2000 bitimkongwe. Halfu kuwaambia wazazi kwa lazima uwapigie simu, ukirudi likizo mzazi akikuuliza habari za shule unasema 'nzuri tu' isipokuwa pesa ndio ilikuwa kidogo badala ya kumueleza yaliyojiri term nzima.
 
FA mpaka leo hii huko vijijini bado yanaendelea na hata baadhi ya shule za mjini.

Hiyo mwaka 2000 inawezekana asilimia fulani wamepata mwamko na hasa wale ambao wazazi wao wako friendly
 
Imeelekea una ugomvi wa siri siri na Smile
Ugomvi gani mbona mimi hata sikumbuki tuna ugomvi naye...Au mmemuamini eti nimemtongoza vipi mtu umtongoze mtu humjui? Yani huyo smile kaniwacha hoi...kumtumia PM ndo imekuwa nimemtongoza basi hata ka Lizzy nilisha katumia PM kasije kusema nako nimekatongoza pia :biggrin:


Usifananishe shule na kanisa...Wale watoto walikuwa na jua hata wakienda kushitaki wataonekana waongo sababu wale ni watu wa dini....Yule aliye mfungia bint yake alikuwa kamweka jela bint yake ndani, yani hata ndugu zake walikuwa hawajui...sasa huyo Smile kesi yake ni tofouti na unayo ongea wewe yeye alikuwa anarudi nyumbani kila siku na umri wake ulikuwa umeisha baleghe mpaa wana mcheki kama ana mimba, sasa tukimsema mjinga mnamtetea...Yani mwanamke mpaa umefikia kuchekiwa kama una mimba na hujui zuri na baya...Ikiwa watoto wale walio zaliwa kama ni ma down syndrome basi hapo wangeisha jua kama hapo ni kosa vipi yeye asijue hayo.
 
kwa iyo nisemeje?
Useme live kama baada ya kushikwashikwa ulimegwa/liwa tigo? nk nk.
Hiyo ndo maaana ya kunajisiwa.
Ina Maaaana kwa wale Dada zetu wanao fanya abortion nao walalamike wananajisiwa?
Unajua maaana ya kunajisiwa lakin?
 
Smile yuko wapi sasa? Naona maswali mengi yanayohitaji majibu na mtoa mada haonekani
 
Pamoja sana. Ingawa sishabikii mafataki lakini unajisikiaje utapoona bint ana mis behave na ukakaa kimya au kusema umejaribu na kushindwa? sounds irresponsible parent.

oot: Ulisema utapotea, ukapotea; ulipotea sana.
FA tuko ukurasa mmoja aisee! Fataki hakubaliki kabisa lakini, priority iweke kumjenga mtoto wako kwanza ili ajiamini na aweze kukabiliana na hali yoyote. Unajua nakuhakikishia wengine sio mafataki ila hormones zinaamshwa na hawa hawa tunaowaona ni watoto, na kuna pointi ikifikia basi mwanamme asiejitambua anakuwa mnyama kabisa hata kama katika ordinary life ni mwema sana. Wazee walisema "mtoto akishakubeba maziwa kifuani basi ni mtu mzima huyo", na jana tu mwali alisema mwanamke hata awe mdogo vipi anaweza akawa mama yako kama ataolewa na baba yako. Umeona eeh?
 
Hata hivyo klorokwini! katika sheria mpya ya makosa ya kujamiaana, mtu kumkonyeza tu tayari umebaka. sembuse kutomasa, kumvua nguo binti, yaani huyo makosa yote mawili ya ubakaji, na kudhalilisha.
Kwahiyo Smile yuko sawa katika maelezo yake.
hehehe hii sheria mpya atatoka mtu kweli?
Unajua mimi sipingi kwamba haikubaliki lakini watoto wenyewe umewaona wa siku hizi mkuu? Kuna katoto nakafaham kako kama 16 ivi hakyanani ukikaangalia tu kanakabinya binya kifua chake kukukaribisha na kanatoka na wazee kuliko Dr Slaa.
 
Ina mana hiyo shule watoto wote walikuwa dizaini ya lulu?....kweli shule nzima asijitokeze hata mmoja wa kukerwa na hiyo hali?.. No lawyer, mie bado nna mashaka na huu uzi wa smile!
Hivi nyinyi hamuelewi? Think! Mrs Nitonye think!
 
we ivi unjua kunajisi maana yake nini?? Uyo alikuwa anawa masaji nanyi mnachanganyikiwa
 
Siku hizi wanapima mkojo au mate kujuwa kama wana mimba au la.
 
Deskmate! You have a point there lakini dig me deep utaipata point yangu.

Duniani kuna categories kuu tatu linapokuja suala la ubinadamu.
1)Binadamu Wanyama (hawa whatever situationa wataonesha unyama wao): hapa malezi ya mtoto yatasaidia kumfichua huyu mtu kama mtoto atajengwa kujielewa na kujiamini

2)Binadamu wanaojitambua lakini wanaathirika na vishawishi vya kimaumbile: Hawa ni binadamu kamili na wana ubinadamu lakini wana udhaifu wa kuweza kuucontrol ubinadamu wao (hapa malezi ya mtoto yatasaidia katika kumwepusha binadamu huyu asishawishike na akabadilika kuwa mnyama)

3) Binadamu wanaojitambua na wanaoweza kujidhibiti: (hapa malezi ya mtoto sio muhimu sana kwani hata akikosea stepu aidha binadamu huyu atachukua nafasi ya mzazi kumfunza au at least atajidhibiti na kupuuzia.

Conclusion:
Sasa malezi ya mtoto ni muhimu sana kukabiliana na binadamu namba 1) na binadamu namba 2)

Halaf ukimuona kipipi pia nisalimie.
 
Hapo ulinyanyaswa kijinsia.

Hapo hamna cha kupima mimba wala nn huyo mwalimu na daktari walikuwa na agenda tofauti.

Watu kama hao walitakiwa kushtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…