nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Na wewe umeanza hadithi za uongo lini?
Eh samahani kumbe upo my love, hii ni kweli kipindi niko primary watoto wa kike walikuwa wanatuogopa sana sisi wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umeanza hadithi za uongo lini?
baada ya kunitongoza nikakukataa naona unanijia juu siku mingi mkuu.sikutaki basi
tulikuwa tunachukia tunalalamika yanaisha tunasubiria msimu mwingine tena
by the way nimekumbuka tu nikaona ni shee na ninyi
Lol, mlikuwa mnawatisha na nini?Eh samahani kumbe upo my love, hii ni kweli kipindi niko primary watoto wa kike walikuwa wanatuogopa sana sisi wanaume
......Unasema ulikuwa unapimwa mimba kwa kunajisiwa, ikiwa mtoto mdogo mwenye miaka miwili angejua hilo ni kosa anafanyiwa angenda shitaki wewe vipi mpaa umeisha baleghe hujui kama hilo kosa...Hivi wewe zinakutosha kweli?
Wanazungumza kama vile hapo zamani ulikuwa na haki ya kumshtaki mwalimu wa shule au labda kulikuwa na simu unaweza kuwapigia wazazi na kuwahadithia hayo.
Kwanza ulikuwa huthubutu kutamka vitu kama hivyo mbele ya wazazi utaishia kugeuziwa kibao na pengine kula kichapo cha nguvu kwa kumsingizia mwalimu
Jamani haya mambo ya wanafunzi kupata confidence ya kumsema mwalimu ni ya karibuni tu. Ile generation yetu mwalimu alikuwa Mungu mdogo mitaani
Ugomvi gani mbona mimi hata sikumbuki tuna ugomvi naye...Au mmemuamini eti nimemtongoza vipi mtu umtongoze mtu humjui? Yani huyo smile kaniwacha hoi...kumtumia PM ndo imekuwa nimemtongoza basi hata ka Lizzy nilisha katumia PM kasije kusema nako nimekatongoza pia :biggrin:Imeelekea una ugomvi wa siri siri na Smile
Usifananishe shule na kanisa...Wale watoto walikuwa na jua hata wakienda kushitaki wataonekana waongo sababu wale ni watu wa dini....Yule aliye mfungia bint yake alikuwa kamweka jela bint yake ndani, yani hata ndugu zake walikuwa hawajui...sasa huyo Smile kesi yake ni tofouti na unayo ongea wewe yeye alikuwa anarudi nyumbani kila siku na umri wake ulikuwa umeisha baleghe mpaa wana mcheki kama ana mimba, sasa tukimsema mjinga mnamtetea...Yani mwanamke mpaa umefikia kuchekiwa kama una mimba na hujui zuri na baya...Ikiwa watoto wale walio zaliwa kama ni ma down syndrome basi hapo wangeisha jua kama hapo ni kosa vipi yeye asijue hayo.ila mimi nashangaa wewe unauliza as if unaishi dunia nyengine kabisa.
Hata Marekani tumeona viongozi wa dini walikuwa wananyanyasa watoto na hawakuweza kushtaki mpaka hii miaka ya karibuni. Na mwaka jana yule Muaustria aliyemfungia binti yake kwa miaka kumi na... Na kumzalisha watoto na ilihali mkewe alikuwa naye. Utamlaumu mtotp?
kumbe testimony huwa siyo true story? kidhungu wengine ndo tunajifunza. Samahani Smile kwa kutoielewa thread yakoHii ni true story mpendwa sio testimony lol..
Useme live kama baada ya kushikwashikwa ulimegwa/liwa tigo? nk nk.kwa iyo nisemeje?
FA tuko ukurasa mmoja aisee! Fataki hakubaliki kabisa lakini, priority iweke kumjenga mtoto wako kwanza ili ajiamini na aweze kukabiliana na hali yoyote. Unajua nakuhakikishia wengine sio mafataki ila hormones zinaamshwa na hawa hawa tunaowaona ni watoto, na kuna pointi ikifikia basi mwanamme asiejitambua anakuwa mnyama kabisa hata kama katika ordinary life ni mwema sana. Wazee walisema "mtoto akishakubeba maziwa kifuani basi ni mtu mzima huyo", na jana tu mwali alisema mwanamke hata awe mdogo vipi anaweza akawa mama yako kama ataolewa na baba yako. Umeona eeh?Pamoja sana. Ingawa sishabikii mafataki lakini unajisikiaje utapoona bint ana mis behave na ukakaa kimya au kusema umejaribu na kushindwa? sounds irresponsible parent.
oot: Ulisema utapotea, ukapotea; ulipotea sana.
hehehe hii sheria mpya atatoka mtu kweli?Hata hivyo klorokwini! katika sheria mpya ya makosa ya kujamiaana, mtu kumkonyeza tu tayari umebaka. sembuse kutomasa, kumvua nguo binti, yaani huyo makosa yote mawili ya ubakaji, na kudhalilisha.
Kwahiyo Smile yuko sawa katika maelezo yake.
Mtaisoma namba! nimehamia karibu na Univesity. Hapa ni mapwenti ya kufa mtu mpaka utajutia kwenda kwa nitonye.Ukiingia jf kabla hujapipa kilabuni unakuwaga na mapointi ya ukweli.
Hivi nyinyi hamuelewi? Think! Mrs Nitonye think!Ina mana hiyo shule watoto wote walikuwa dizaini ya lulu?....kweli shule nzima asijitokeze hata mmoja wa kukerwa na hiyo hali?.. No lawyer, mie bado nna mashaka na huu uzi wa smile!
we ivi unjua kunajisi maana yake nini?? Uyo alikuwa anawa masaji nanyi mnachanganyikiwashuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sanamkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingiachumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wakejinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancermkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongohii ilikuwa fair kweli? Walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wikisiku hzi sijui wanapimaje
Deskmate! You have a point there lakini dig me deep utaipata point yangu.NImeelewa na nakubaliana na hayo ulio sema.
Ila pia kumbuka personalities zinapishana
As much as ,mzazi na waalimu wanaweza kumsaidia mtoto
kujitambua, kujiamini na kuelewa what is right or wrong
Kuna watu kama kina head master ambao they hold a position of power
wanatumia hiyo power yao vibaya kwa kuwanajisi watoto
by the time mtoto anaenda kureport amesha 'kaguliwa' tayari!